Na Salvatory Ntandu – Kahama
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya
Ushetu mkoani Shinyanga limeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa
baadhi ya wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme (REA) ambao
wanawatoza wananchi fedha ili kulipia gharama za nguzo na mita kinyume
na maagizo ya serikali.

Wakizungumza katika kikao cha baraza la
Madiwani wa Halmashauri hiyo, Tabu katoto diwani wa kata ya Igunda na
Paulo Sai Golani diwani wa kata ya Kisuke wamesema wananchi wamekuwa
wakitozwa fedha na baadhi ya watumishi wa kampuni ya ANGELIQUE
INTERNATIONAL.CO.L.T.D ambayo inatekeleza Mradi wa REA katika vijiji 54
katika halmashauri hiyo.

“Mimi katika kata ya Kisuke wananchi
wangu wametozwa zaidi ya shilingi laki moja kwaajili ya kulipia gharama
za nguzo huku wengine wakilipia shilingi elfu 10 kwaajili ya Mita na
wakikaidi kulipa hawapatiwi huduma hii ya umeme wa REA”,alisema Golani.

“Katika Kata yangu ya Igunda huduma ya
umeme imetolewa kwa urasimu kama huna fedha huduma hii inakuruka na
inapelekwa katika nyumba za matajiri pekee na kwa wananchi maskini
imekuwa ni ngumu huku maeneo muhimu kama visima, shule na zahanati
yakirukwa”,alisema Katoto.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Ushetu Juma Kimisha alisema kitendo hicho kinapaswa
kupingwa kwa nguvu zote kwani si maelekezo ya serikali na wananchi wengi
wameshindwa kupata huduma hiyo kutokana na urasimu uliopo katika miradi
ya REA

Akijibu Malalamiko ya Madiwani hao Afisa
Masoko wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutoka Makao makuu Musa
Chowo alimtaka meneja wa TANESCO wilaya ya Kahama Mhandisi King Fokanya
kuhakikisha anawasimamia wakandarasi hao ambao wamebainika kuwaibia
wananchi.

“Nimetoa mawasiliano yangu kwenu
mikiwaona wakandarasi wanaowaibia wananchi toeni taarifa kwa vyombo vya
usalama na wakamateni kwani hao ni sawa na wezi wengine na wanatekeleza
hayo kwa matakwa yao binafsi na sio maelekezo ya serikali”,alisema
Chowo.

Kampuni ya ANGELIQUE INTERNATIONAL CO
LTD inayotekeleza mradi huo mpaka sasa imeweka umeme katika vijiji 14
kati ya 54 vya halmashauri ya Ushetu kandarasi ambayo imedumu kwa miaka
miwili ambayo kwa sasa muda wake umeshamalizika na hajakamilisha mradi
huo.