Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Arusha
Waziri
wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameliagiza jeshi la Polisi Mkoani
Arusha kwa kushirikiana na Mkuu wa Upelelezi, na Kamanda wa Taasisi ya
Kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kuwakamata viongozi mbalimbali
wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Arusha Kurugenzi kutokana
na ubadhilifu wa fedha za wanachama.

Hasunga ametoa maagizo hayo jana tarehe 9 Novemba 2019 mara baada ya
kusikiliza malalamiko ya wanachama wa chama hicho wakati wa kikao kazi
kilichofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kuhudhuriwa pia
na Mkuu wa Mkoa huo Mhe Mrisho Gambo.

Amesema
kuwa watuhumiwa hao wanapaswa kukamatwa haraka iwezekanavyo kuanzia
waliokuwa viongozi mwaka 2004 mpaka 2015 ili kurudisha fedha zote
walizozizihujumu za wanachama na walizokopa.

Wengine
alioagiza wakamatwe ni pamoja na wajumbe wote wa kamati za mikopo,
Kamati ya usimamizi wa SACCOS iliyokuwepo kipindi chote hicho, Wajumbe
wote wa Bodi ya SACCOS iliyokuwepo awali kabla ya Bodi iliyopo sasa.

“Tunachotaka sisi fedha zote za wanachama zirudi na hata leo wakirudisha fedha hizo hatutaendelea na kesi” Alisema
Pia
ameagiza mwanachama wa SACCOS hiyo Bi Zainab Nassor aliyeanzisha
vikundi hewa 14 akamtwe, huku wengine ni aliyekuwa Mwenyekiti wa SACCOS
Dkt Freedom Makiago, Makamu Mwenyekiti Gasto Gasper, Meneja Christina
Sumaye, na wajumbe Andrea Sekidio, Joseph Kuhamwa na Mwanahamisi Gembe.

Katika
hatua nyingine Mhe Hasunga ameagiza kukamatwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti
wa kamati ya Usimamizi Bi Mwanahawa Kombo, na wajumbe Samwel Mushy,
Estomin Chang’ah. Huku akiagiza pia karani wa SACCOS hiyo Edith Malley
kukamatwa.

hatua nyingine ameagiza viongozi wote walioandikwa kwenye vikundi vya
mikopo kukamatwa haraka iwezekanavyo na kuchukuliwa hatua za haraka
ikiwemo kurudisha fedha za wanachama.

Mhe
Hasunga amesema kuwa lengo la kunzishwa vyama vya ushirika ilikuwa ni
kuwanufaisha wananchi kupitia umoja huo muhimu kwani mafanikio
yanahusisha nguvu ya pamoja.

Hata
hivyo ameagiza Bodi iliyopo madarakani kubainisha taarifa za kumbukumbu
zote za chama hicho kwa kuonyesha idadi ya wanachama na akiba
walizonazo katika chama, idadi ya hisa na kiasi cha fedha zinazodaiwa na
kila mwanachama.

Kwa
sasa chama kinadaiwa fedha kiasi cha shilingi 2,486,365.68 zilizotokana
na mikopo kutoka Taasisi mbalimbali za kifedha, Amana, Akiba na Hisa za
wanachama hususani wastaafu ambazo zilichukuliwa kwa kutumiwa na
wahusika hao bila utaratibu na kwa malengo yao binafsi.

Wanachama
wastaafu wanadai zaidi ya shilingi 831,764,924.87 zitokanazo na fedha
za Amana walizoweka katika chama kutumia viinua mgongo vyao baada ya
kustaafu utumishi, Akiba na Hisa walizowekeza tangu wajiunge na chama
hicho.

wanaoendelea na chama na waliojitoa wanadai zaidi ya shilingi
770,181,745.56 zitokanazo na Amana, Akiba na Hisa walizowekeza tangu
wajiunge na chama hicho.

Kadhalika,
Taasisi za kifedha zinazodai ni pamoja na (CRDB, NSSF na TUMAINI
SACCOS) wanaodai zaidi ya shilingi 874,575,517.25 bakaa ya mikopo
iliyotolewa bila kuzingatia utaratibu wa kifedha na kwa kutumia taarifa
za udanganyifu.

wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga yupo Mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya
siku 2 kwa mualikowa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo ambapo
pamoja na mambo mengine atashuhudia shughuli za sekta ya kilimo.