Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza na wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi la Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), (hawapo
pichani), wakati wa ufunguzi wa baraza hilo la 13 lililofanyika mkoani
Kagera.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia
Jenerali Marco Gaguti, akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi la Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), (hawapo pichani),
wakati wa ufunguzi wa baraza hilo la 13 lililofanyika mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Baraza ambaye pia ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Patrick
Mfugale, akizungumza na wajumbe wa baraza hilo ambao limewakutanisha
wajumbe kutoka mikoa yote nchini, mkoani Kagera.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi la Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), wakifuatilia
maelekezo ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (hayupo pichani), wakati wa ufunguzi
wa kikao cha baraza hilo la 13 kilichofanyika mkoani Kagera.

Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe na Mwenyekiti wa Baraza ambaye pia
ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS, Mhandisi Patrick
Mfugale, pamoja na viongozi wengine wakishiriki kuimba nyimbo ya
‘Solidarity forever’ kuonyesha mshikamano katika utendaji kazi wakati wa
Kikao cha 13 cha Baraza hilo, mkoani Kagera.

Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akiteta jambo na Mwenyekiti wa
Baraza ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS,
Mhandisi Patrick Mfugale, wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi la
13 lililofanyika mkoani Kagera.

Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara
(TANROADS), wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi ambaye ni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, mara
baada ya kufungua kikao cha Baraza hilo la 13 lililofanyika mkoani

………………….
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ameutaka Wakala wa Barabara Nchini
(TANROADS) kusimamia kwa uadilifu pasipo kuyumbishwa taratibu za
manunuzi ya umma na wala kutoruhusu kuingiliwa na watu wenye maslahi
binafsi.

Aidha, ameutaka Wakala huo
kutafuta mbinu na mkakati mpya wa kukabiliana na vitendo vya utovu wa
nidhamu na rushwa unaofanywa na baadhi ya watumishi wa mizani kwani
unaharibu taswira na uaminifu wa Wakala huo.

Waziri Kamwelwe ametoa kauli
hiyo jana mkoani Kagera wakati akifungua mkutano wa kumi na tatu (13) wa
Baraza la Wafanyakazi wa TANROADS nchi nzima ambapo pamoja na mambo
mengine amefurahishwa sana na utekelezaji wa maagizo yake katika kikao
kilichopita ambayo ni kielelezo cha usikivu, ukomavu na utii wa hali ya
juu kwa Serikali.

“TANROADS msiyumbishwe katika
taratibu za manunuzi na mtafute mbinu mpya ya kukabiliana na rushwa
kwenye masuala ya ujenzi na mizani ili isiwaaharibie sifa yenu
mliyonayo”, amesema Waziri Kamwelwe.

Mhandisi Kamwelwe ameusisitiza
Wakala kuendelea kuwajengea uwezo watumishi kwa kuwaongezea weledi na
kuwapa vitendea kazi na vifaa hasa Kitengo cha Usimamizi wa Miradi
(TECU) ili kiweze kusimamia miradi mikubwa zaidi nchini.

“Naendelea kuwasihi na kuwatia
moyo kuendelea kuchapa kazi kwa kutanguliza mbele maslahi mapana na
Taifa na tunajua uwepo wa upungufu wa watumishi, vitendea kazi pamoja na
ofisi kwa baadhi ya mikoa, jambo hilo lisiwavunje moyo na liwe chachu
na hamasa ya kuwajibika, nasi tutaendelea kutafuta na kuweka mikakati
mbalimbali ya kutatua changamoto hizo kwa kuzingatia vipaumbele ili
tuweze kuhakikisha kuwa hakuna jambo lolote linaloweza kukwamisha
utekelezaji wa majukumu yenu”, amesisitiza Mhandisi Kamwelwe.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa
Baraza hilo ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick
Mfugale, amesema kuwa Wakala unaendelea kutekeleza na kuhakikisha kuwa
miradi mbalimbali ya kimkakati na ile ya maendeleo inakamilika kwa
wakati na viwango ili iweze kuchochea kasi ya maendeleo ya nchi yetu.

Ameongeza kuwa kasi ya usimamizi na ukamilishaji wa miradi mikubwa kwa wakati itaenda sambamba na thamani ya fedha (Value for money
katika miradi yote nchini na hivyo kuifanya TANROADS kuendelea kuwa
injini ya uchumi wa Taifa letu katika ujenzi wa uchumi wa kati.

Naye, Mkuu wa Mkoa wa Kagera,
Brigedia Jenerali Marco Gaguti, ameipongeza TANROADS kwa kwa juhudi,
maarifa na utendaji kazi kwa weledi ambao unaweka mbele maslahi mapana
ya nchi yetu.

“Sisi sote hapa ni mashahidi
wa kuona jinsi Serikali inavyoamua miradi mingi mikubwa isimamiwe na
TANROADS na katika hili hamjatuangusha”, amesema Mkuu wa Mkoa.

Waziri Mhandisi Kamwelwe yupo
mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili ambapo atakagua pia miradi ya
barabara, madaraja, bandari inayoendelea kutekelezwa na Wizara yake.