Na.Alex Sonna,Dodoma
Katibu
mkuu wizara ya Maji Profesa Kilila Mkumbo,amesema serikali imefuta
mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira 36 na sasa zitahudumiwa na
mamlaka za makao makuu ya mikoa 25, zilizoundwa na kuongezewa majukumu
ya utoaji huduma katika maeneo yake.

Hayo
ameyasema jana jijini Dodoma wakati alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara
juu ya maboresho ya muundo mpya wa mamlaka za maji safi na usafi wa
mazingira nchini.

Prof.Mkumbo,amesema
kuwa katika kuimarisha uendesahiji wa sekta ya usambazaji maji na usafi
wa mazingira mijini, Waziri wa maji Profesa Makame Mbarawa, kwa
mamalaka aliyonayo kwa mujibu wa sheria ameongeza maeneo ya huduma za
maji.

“Kwa
mujibu wa sheria ya huduma za maji na iusafi wa mazingira Na 5, ya
mwaka 2019 ameongeza maeneo ya huduma kwa baaadhi ya mamalaka za maji na
usafi wa mazingira nchini aidha Waziri wa maji ameanzisha na kufuta
baadhi ya mamlaka za maji na usafi wa mazingira nchini”amesema
Prof.Mkumbo

Hata
hivyo amesema kuwa kwenye mabadiliko hayo kutakuwa na mamlaka za maji
safi na usafi wa mazingira 25, katika ngazi ya makao makuu au miji mikuu
ya mikoa.

Hata hivyo ameongeza kusema kuwa mamlaka hizo zitahudumia halmashauri zilizopo katika miji mikuu,makao na makuu ya mikoa husika.
“Aidha
baadhi ya mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira katika ngazi hii
zimeongezewa maeneo ya huduma na kuunganishwa na baadhi ya miji midogo
katika mikoa husika au mikoa ya jirani,”amesisitiza

amezitaja baadhi ya mamlaka za maji na usafi wa mazingira za mikoa
zilizoongezewa majukumu kuwa ni pamoja na mamlaka ya maji na usafi wa
mazingira Dar es saalam (DAWASA) ambayo itahudumia hadi maeneo ya
Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe na Mkuranga.

Nyingine
ni Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira mkoa wa Dodoma (DUWASA),
ambayo nayo pia itahudumia eneo lake la jiji pamoja na miji ya Kongwa,
Bahi na Chamwino

Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mrogoro (MORUWASA) ambayo imeongezewa miji ya Kilosa na Mikumi.
Nyingine
ni Mamalaka ya maji na usafi wa mazingira ya Mwanza (MWAUWASA) ambayo
itahudumia halmashauri ya jiji la Mwanaza na manispaa zake na mji wa
Magu, Nansio na Ngudu

hivyo amesema kuwa Vmamalaka za maji na usafi wa mazingira za miji
midogo ya wilaya 40, zitasimamiwa na mamlaka ya maji vijijini (RUWASA).

Baadhi
ya mamlaka za maji na usafi wa mazingira zilizofutwa kati ya 36, ni
pamoja na Kibaha WSSA, Kongwa WSSA, Chamwino WSSA, Kilosa, Kyela WSSA,
Mikumi WSSA, Pangani WSSA, Magugu WSSA.

Amesema kuwa lengo la Serikali kufanya hivyo ni kuongeza ufanisi na kupunguza matumizi ya fedha .