Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Arusha
Waziri
wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameliagiza jeshi la Polisi Mkoani
Arusha kwa kushirikiana na Mkuu wa Upelelezi, na Kamanda wa Taasisi ya
Kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kuwakamata viongozi mbalimbali
wa Chama cha Akiba na mikopo cha Ayalabe na na Chama cha Ushirika wa
Ayalabe Dairy kutokana na ubadhilifu wa fedha za wanachama wa vyama
hivyo.

Hasunga ametoa maagizo hayo jana tarehe 10 Novemba 2019 wakati mara
baada ya kusikiliza malalamiko ya wanachama wa vyama hivyo wakati wa
kikao kazi kilichofanyika katika eneo la uwanja wa vyama hivyo Wilayani
Karatu ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili
mkoani Arusha.

Hasunga ameagiza viongozi hao kukamatwa haraka iwezekanavyo kwani
dhamira ya serikali ya awamu ya tano ya kuanzisha vyama vya ushrika ni
kuwanufaisha wananchi kupitia umoja huo.

Viongozi
hao ni Wajumbe wa Bodi ya AYALABE SACCOS ambao ni aliyekuwa Mwenyekiti
Ndg Christopher Kastuli, Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Ndg Yuda Moratha,
Waliokuwa makatibu Bi Maria Lohay na Anastazia Evodi pamoja na wajumbe
Eustela Kastuli, Faustini Tekko, Ludovick Marmo, Tarsila Visent na
Costantine Matle.

Wengine
ni waliokuwa wajumbe wa Chama cha Ushirika wa Ayalabe Dairy ambao ni
aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Yuda Moratha, aliyekuwa Makamu
mwenyekiti Faustine Tekko, aliyekuwa katibu wa chama hicho Ndg Yasinta
Faustin, na wajumbe ambao ni EufrasiaAntony, Israel Sarwat, Evarist
Sulle, Florance Neston na Eustela Kastuli.

Hasunga ameagiza pia kukamatwa viongozi wote wa makampuni yaliyochukua
hela kinyume na taratibu za ushirika, kampuni hizo ambazo ni Shimaswa na
Teddy Agrovet.

Katika
hatua nyingine ameagiza Ndg Blanka Michael akamatwe kutokana na
kukodisha eneo la Chama cha Ushirika wa Ayalabe Dairy pasipo kufuata
utaratibu wa kisheria.

mkutano huo pia Mhe Hasunga ameagiza kuwekwa kizuizini viongozi na
wajumbe wa kamati ya usimamizi wa Chama cha Akiba na mikopo cha Ayalabe
ambao ni aliyekuwa Mwenyekiti Ndg Lazaro Titus Lazaro na wajumbe Joseph
Bayo na Eudesi Jonas.

Hasunga ameuagiza uongozi uliopo wa Chama cha Ushirika cha akiba na
mikopo cha Ayalabe kusitisha mara moja kulipa deni la mkopo waliochukua
wa shilingi 500,00,000 kutoka Benki ya TIB kwa kutumia hati za majengo
ya Ayalabe Dairy mpaka serikali itakapojiridhisha kama mkopo huo ni
halali.

Ameagiza
watuhumiwa hao wote wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na watakaoweza
kurudisha fedha za wanachama waweze kusamehewa. Pia ameuagiza uongozi wa
wilaya ya Karatu na Tume ya Maendeleo ya Ushirika kuhakikisha kuwa
wanasimamia ukarabati wa kiwanda cha Ayalabe Diary na kufikia mwezi
Januari 2020 kianze kufanya kazi.

Chama
cha Ushirika wa maziwa cha Ayalabe kilipokea kiasi cha shilingi
513,407,077 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kupitia miradi ya
ASDP na DADPS tangu mwaka 2009 hadi 2013 kwa ajili ya ujenzi wa
kuboresha kiwanda cha maziwa ambapo hata hivyo baada ya kufanyiwa
uchunguzi na ukaguzi kilibainika kuwa na ubadhilifu wa Tshs 147,126,000
huku chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) chenyewe kilikuwa na
akiba za wanachama ambazo ni shilingi 11,015,000 na hisa zao zilikuwa
Tshs 2,830,000, huku kikiwa kimechukua mkopo wa Tshs 500,000,000 kutoka
Benki ya TIB.