Mo dwji aibuka na jipya baada ya kutangaza kujiuzulu simba sc

Baada
ya jana kupitia ukurasa wake wa twitter kuandika kwamba anaondoka
kwenye nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba kutokana na timu hiyo
kupoteza mchezo wa fainali kwa kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar, leo Mo
amekuja na maamuzi mapya kwamba kilichotokea kwenye Account yake jana
ilikuwa ni bahati mbaya. 

 “Kilichotokea
kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja,
tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi,
nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki
kuwa Simba”.Ameandika Mo Dewj