MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Asasi za Kiraia (NGOs)
Mhe Neema Lugangira ameishauri Ofisi ya Waziri Mkuu kutoa mwelekezo wa
mapambano dhidi ya udumavu na utapiamlo wa aina zote na kuzikaribisha
rasmi Sekta ya Asasi za Kiraia kuandaa mpango kazi kwa kushirikiana nao
kama ilivyofanya kwa Sekta Binafsi.

Alitoa
ushauri huo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia kwenye Hotuba ya
Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo Mh Neema Lugangira alijikita
kwenye mambo mawili ya Lishe na Sekta ya Asasi za Kiraia (NGOs) kwa
kutoa mchango wake.

Akizungumza
wakati akichangia mambo hayo Mbunge Neema Lugangira aliipongeza
Serikali kwa jitihada kubwa inayofanya kwa kuboresha hali ya lishe hapa
nchini na kutokomeza udumavu na aina yoze utapiamlo.

“Napenda
kupongeza jitihada kubwa zilizofanywa na Rais Samia Suluhu wakati akiwa
Makamu wa Rais ambaye ilipelekea kumuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tamiseni kusaini mikataba ya Lishe kwa niaba yake na Wakuu wa Mikoa.
Hivyohivyo namshukuru sana Mhe Waziri Mkuu Kasim Majaliwa na Mhe Waziri
Jenista Mhagama kwa namna ambayo wanavyoendelea kuratibu Masuala ya
Lishe ambayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu” Alisema

Mbunge
Neema Lugangira alisema wanafanya hivyo kwa kupitia maeneo manne ambayo
ni (1) kusimamia utekelezaji wa mpango jumuishi wa Lishe wa Kitaifa;
(2) kusimamia vuguvugu la uongezeji kasi ya kuboresha hali ya lishe
duniani; (3) kujuimisha jumbe la lishe kwenye jumbe Mbio za Mwenge wa
Uhuru; na (4) katika kutekeleza vipaumbele vya lishe vilivyowekwa kwenye
mpango wa maendeleo ya Taifa.

“Kipekee
napenda kukishukuru Chama changu, Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa
Chama pekee ambacho kimeweka kipaumbele kikubwa kwenye lishe na mnaweza
kurejea ukurasa wa 7,40,139 hadi 141 ambapo Chama hicho kimeweka
malengo madhubuti ya namna gani itaekeleza serikali ya kuboresha hali ya
lishe nchini na kutokomeza udumavu na aina zote za utapiamlo” Alisema

Hata
hivyo Mbunge Neema Lugangira alisema hivi sasa Tanzania kuna changamoto
kubwa sana ya Lishe Duni inayopelekea kutuweka kwenye hatari ya
kutokuwa kizazi chenye nguvu kazi shindani kwa siku zijazo.

“Wengi
tunaongelea ajira lakini ikiwa watoto wana lishe duni na wapo na
udumavu hivyo nguvu kazi na kizazi cha kesho kitapatikana vipi ndio
maana ya kuipa kipaumbele suala la Lishe hivyo nitumie fursa hii
kuikumbusha Ofisi ya Waziri Mkuu itamke rasmi ina maoni gani kuhusu
janga hilo la lishe bora” Alisema

Alienda
mbali zaidi na kueleza kwamba pia Ofisi ya Waziri Mkuu itakwenda
kufanya nini ili ihakikishe kwamba Sekta na Wizara zote zinakwenda
kuhusika na suala hilo na wanakwenda kutekeleza yale yote yaliyoandikwa
kwenye Ilani ya CCM.