Maji yakitiririka msimu mzima wa mwaka katika Msitu wa Amani wilayani Muheza. |
Umoja wa Wakulima na Uhifadhi wa Mazingira KIHUHWIZIGI wamejenga sehemu mahsusi kwa ajili ya kuonyeshea pikipiki ili wasiweze kutiririsha uchafu katika vyanzo vya maji. |
Mradi wa ufugaji samaki wa kikundi cha hamasa ambacho kinasaidia kutojihusisha na shughuli za kilimo chenye madhara katika vyanzo vya maji. |
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Amani, Tanga
Katika kuendelea kuwepo kwa maji ya
uhakika na yenye usalama hakuna budi jamii kuhifadhi vyanzo vya maji
wanavyozunguka kwa kuendesha shughuli za kilimo zisizo na madhara katika vyanzo
hivyo.

Vyanzo ya maji vikihifadhiwa kwa
katika sekta ya kilimo kwa kupanda mazao ambayo hayana madhara katika
utiririshaji maji mamlaka husika kupunguza gharama za kutibu maji wakati wa
usambazaji wa maji hayo kwa wananchi.

Mkoa wa Tanga kwa wananchi
wanaozunguka vyanzo vya maji wameunda Umoja wa Kilimo na Uhifadhi wa Mazingira Kihuhwizigi (Uwamasiki) ambao wamekuwa
wakihifadhi vyanzo vya maji na kufanya mamlaka
ya Maji Safi na Mazingira jiji la Tanga Tanga Uwasa) kuunga mkono
jitithada za umoja huo.

Kutokana na Mamlaka ya Tanga kuwa
umoja wenye nguvu katika uhifadhi vyanzo vya maji Bonde la Wami/Ruvu imepeleka jumuiya za Watumia Maji
katika vyanzo vya bonde hilo kujifanza katika umoja wa Kilimo na Uhifadhi wa
Mazingira (Uwamasiki) ili kuleta chachu kuongeza mbinu katika uhifadhi wa
vyanzo vya maji.

Akizungumza wakati wa ziara ya
Jumuiya ya Watumia Maji wa Bonde la Wami/Ruvu Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Jamii na Mahusiano wa Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu Horold Kayoza
amesema kuwa wamepeleka jumuiya hizo kwenda Tanga kwenda kujifunza namna
Umoja wa Kilimo na Uhifadhi wa Mazingira (Kihuhwi) inavyolinda vyanzo vya maji
kwa kuendesha shughuli mbalimbali katika vyanzo hivyo ikiwemo kilimo.

Kayoza amesema baada ya kutoka Tanga
nia ni kuona jumuiya ya watumia maji wanakwenda na kasi ya kuweka mikakati ya kuhifadhi vyanzo vya maji
kwa kushirikisha wadau wote kwa kutumia elimu walioipata katika ziara ya Mkoa
wa Tanga.

Aidha amesema kuwa mazingira ya vynzo
vya maji katika mkoa wa Tanga havina tofauti na Mikoa ya Morogoro na Pwani hivyo wanajumuiya ya watumiaji katika
Bonde la Wami/Ruvu watatumia mbinu mbalimbali walizozipata katika ziara ya
Tanga.

Nae Afisa Udhibiti Ubora wa Huduma na Mratibu wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji
Safi na Mazingira jiji la Tanga (Tanga-Uwasa) Ramadhan Nyambuka amesema kuwa
kutokana na Umoja wa Wakulima na Uhifadhi wa Mazingira (KIHUHWIZIGI) kuhifadhi
vyanzo vya maji kumeleta matokeo chanya kwa mamlaka kupunguza gharama za kutibu
maji.

Amesema kuwa wakati umoja huo ukiwa
haujaanzishwa walikuwa wanatumia gharama kubwa ya kutibu maji lakini kuanzishwa
kwa umoja huo Tanga-Uwasa limeendelea kupunguza gharama hizo ikiwa ni kuunga
mkono kwa ufadhili wa miradi kwenye umoja ili waendelee kutunza vyanzo vya

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Umoja wa
Wakulima na Uhifadhi wa Mazingira KIHUHWIZIGI , Twaha Mbaruku amesema kuwa
umoja umesimama vizuri kutokana na kila mmoja kujua umuhimu wa kuhifadhi vyanzo
vya maji.

Amesema wakati wanaanza umoja huo
kuna vyanzo vingine vilikuwa vimekufa lakini sasa vyanzo vyote vinatiririsha
maji wakati wote huku shughuli za
kiuchumi zikiendelea bila kuathiri vyanzo hivyo.