Na Joctan Augustino, APC BLOG NJOMBE
Waziri
wa TAMISEMI Seleman Jafo ameagiza mtu mwenye malalamiko ama dukuduku
kuhusu mwenendo wa mchakato wa uchaguzi kuwasilisha pingamizi katika
kamati zilizoundwa kwa mujibu wa sheria nchi nzima ili kupatiwa ufumbuzi
wa malalamiko yao.

huyo amesema kamati hizo zimejumuisha wajumbe ambao hawatoki kwenye
mamlaka za kiserikali ili ziweze kufanya kazi bila kuingiliwa na chama
ama mtu yeyote mwenye mamlaka kwa lengo la kutatua malalamiko na
dukuduku za wananchi kwa maslahi ya taifa katika kipindi chake chote cha
kazi kuanzia nov 5 hadi nov 9.

Akizungumza
na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Njombe,kikosi cha kamati ya muda
ya rufani iliyoundwa pamoja kamati za ulinzi na usalama wilaya waziri
jafo amesema amelazimika kuunda kikosi hicho ili kuhakikisha haki
inatendeka katika kuwapata viongozi sahihi watakao aminika na
kuchaguliwa na wananchi ifikapo nov 24 na kuagiza kamati hiyo
kuhakikisha inawarejesha wale wote waliotolewa kwa hujuma katika nafasi
walizo gombea.

Awali
akitoa tathmini ya kitaifa juu ya mchakato wa uchaguzi Jafo amesema
katika mitaa 4200, vijiji 12 elfu na vitongpji elfu 64 ambayo ni sawa na
asilimia 98.2 limekwenda vizuri huku akidai katika maeneo yenye
asilimia 1.8 ambayo ni sawa na kata 72 kati ya 3956 lilikuwa na dosari
na kuzitaka kamati rufani kwenda kuzitatua.

Baada
ya kutangaza kamati hizo na kuzipa majukumu ya kusikiliza malalamiko na
kuyafanyia kazi ili kulinda haki za wananchi,watia nia na vyama vya
siasa kisha akatoa onyo kwa wanasiasa wanaotoa matamko yanatolenga
kuhatarisha amani ya nchi ambapo ameshauri kama kuna tatizo kuwasilisha
katika kamati hiyo maalumu badala ya mitandaoni.

Nae
mkuu wa mkoa wa Njombe akieleza mwenendo wa mchakato wa uchaguzi
anasema katika mkoa wa Njombe hali ni shwari kwasababu hakuna malalamiko
amabayo yametolewa na vyama vya siasa huku akieleza kwamba vyama
vilivyojitokeza katika kinyang’anyilo kuwa ni CCM ambayo imechukua na
kurejesha fomu 9679,Chadema zikiwan 1498,ACT fom 1 pamoja na cuf yenye
fomu 14.

Katika mchakato
wa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa serikali za mitaa watanzania
wamehimizwa kuendelea kudumisha amani na kuepukana na shali ambazo
zinaweza kuharibu sifa ya taifa letu