Breaking : ndege yaanguka na kuua serengeti




Ndege ndogo ya Shirika la Auric Air
imepata ajali leo Jumatatu asubuhi Septemba 23, 2019 katika uwanja mdogo
wa ndege eneo Seronera ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini
Tanzania.






Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ambapo ilikuwa ikiruka kutoka Serengeti kwenda Arusha baada ya kushusha watalii.




Katika ajali hiyo, rubani na abiria mmoja wamefariki dunia.