Inadaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mmoja wa wakazi katika eneo hilo kutaka kuiba betri ya gari hilo la mafuta ndipo lilipolipuka na kuanza kuunguza watu waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagwa na gari hilo sanjari na watu waliokuwa jirani wakiendelea na biashara zao. Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro
Related Posts
Msd kujenga kituo cha mauzo na usambazaji dawa simiyu
Mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu akitoa neno la utangulizi katika mkutano wa tathmini ya utendaji kazi wa Bohari…
Tbs yaadhimisha siku ya ithibati duniani
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bw.Lazaro Mwambole akifungua maadhimisho ya siku ya Ithibati duniani yaliyofanyika…
Watetezi wa haki waipongeza serikali kwa kufungua mlango wa majadiliano kuhusu ukweli juu ya mgogoro wa loliondo na ngorongoro.
Mratibu Kitaifa wa Mtandao Wa Watetezi Wa Haki Za Binadamu -THRDC Onesmo Ole Ngurumwa wakati wakizungumza na waandishi wa habari…