Wakili wa Tanzania
fatma karukme aliyevuliwa uwakili siku ya Ijumaa ameapa kukata rufaa
dhidi ya uamuzi huo alioutaja kua kinyume na sheria.

Akizungumza
kwa njia ya simu na BBC Bi karume alisema kwamba Jaji wa mahakama
aliyetoa uamuzi huo hakufuata taratibu yoyote kabla ya uamuzi huo huo.

Alisema
kwamba pia atakwenda katika kamati ya mawakili ili kutoa malalamishi
yake kuhusu uamuzi huo ambao anasema kwamba unakiuka haki zake za
kisheria.

Hakunipa haki yangu ya kusikilizwa , hakunipa notisi yoyote ili
kusikiliza malalamishi kuhusu wakili wangu , amevuruga kabisa sheria,
alisema bi karume ambaye ni ,mtetezi wa haki za kibinaadamu mbali na
kuwa wakili wa kikatiba.

”Eti pia kaamua kwamba Ado Shaibu amlipe
fidia rais Magufuli inawezekanaje hiyo ilihali rais anatetewa na wakili
mkuu ambaye analipwa na kodi ya mwananchi”.

Hatahhivyo wakilki
huyo amesema kwamba hashangazwi na uamuzi uliotolewa kwa kua hata
aliyekuwa mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu hakupatia haki yake
alipowasili mahakamani kuomba haki yake.

”Katika sheria unapotoa
kauli ambazo ambazo zimezua malalamishi uande wa serikali ni lazima
upewe notisi uende kujitetea, useme ni kwa nini umesema mambo hayo nayo
serikali isema ni kwa nini kauli hizo hazihitajiki , lakini mimi
sijapewa haki hizo fesheli kaamua alivyootaka”.

Siku ya Ijumaa wakili huyo alisimamishwa kufanya kazi za uwakili katika eneo la Tanzania bara.
Maamuzi
hayo yametolewa na Jaji Feleshi kwenye kesi iliyofunguliwa na mwanaJF
Ado Shaibu akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG).

Mahakama Kuu imeamuru Fatma apelekwe kamati ya maadili kwa madai ya kushambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu.
Sababu
yake ilitajwa kuwa kile alichokizungumza katika kesi iliofunguliwa na
katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano katika chama cha Wazalendo, Ado
Shaibu kupinga uteuzi wa Mwanasheria mkuu wa serikali Dkt Adelarus
Kilangi aliyeteuliwa na rais John Pombe Magufuli mnamo February Mosi
2018.

Shaibu alisema kwamba mawakili wa serikali walilalamikia maneno
yalioandikwa na Fatma wakati walipokua wakifungua kesi hiyo mahakama
kuu.

Alinukuliwa akisema: Hata iwapo kesi hii itashindwa
ataendelea kupambana nayo, rais akiondoka madarakani mwaka 2020 au kama
ataondoka 2025 au kama mahakama itabadilika ataendelea kupambana”.

Mimi
sishangai kuvuliwa au kusimamishwa uwakili ,pengine Mungu hataki
niendelee kuwa huko , pemngine anataka niingie kwenye siasa au nifanye
kingine tofauti. Nitakaa na kutfakari alinukuliwa na mwananchi akisema.

Hatahivyo
amesema kwamba hatua hiyo haitabadili maisha yake bali itabadilisha
uwezo wake wa kusimamia kesi za kikatiba , akibainisha kuwa bado ni
wakili Zanzibar, ana ofisi na ataendelea kusimamia kesi za kikatiba.