Mkwaju wa penalti uliopigwa na Paul Pogba ukienda juu baada ya kuokolewa na kipa Rui Patricio dakika ya 68 Manchester United ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Uwanja wa Molineux, West Midlands. Penalti hiyo ilitolewa baada ya yeye mwenyewe, Pogba kuangushwa na Conor Coady kwenye boksi katika mchezo ambao Man United walitangulia kwa bao la A. Martial dakika ya 27 kabla ya Ruben Neves kuisawazishia Wolves dakika ya 55
Related Posts
Magazeti ya leo jumapili novemba 21, 2021
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Magazeti ya leo ijumaa 2 disemba 2022
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Deni la taifa lafikia trilioni 69.44
Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni…