Mkwaju wa penalti uliopigwa na Paul Pogba ukienda juu baada ya kuokolewa na kipa Rui Patricio dakika ya 68 Manchester United ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Uwanja wa Molineux, West Midlands. Penalti hiyo ilitolewa baada ya yeye mwenyewe, Pogba kuangushwa na Conor Coady kwenye boksi katika mchezo ambao Man United walitangulia kwa bao la A. Martial dakika ya 27 kabla ya Ruben Neves kuisawazishia Wolves dakika ya 55
Related Posts
Magazeti ya leo jumapili septemba 19, 2021
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Yanga wasikitishwa kukamatwa kwa senzo.
UONGOZI wa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania bara Yanga SC, umeeleza kushtushwa na kusikitishwa na tukio la kukamatwa kwa ofisa…
Mgombea udiwani kupitia chadema kata ya iwungilo aahidi neema akichaguliwa
WANANCHI Na Mwandishi Wetu, NjombeWakazi wa kata ya Iwungilo halmashauri ya mji wa Njombe wamesema ifikapo octoba 28 watamchagua kiongozi…