Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania ( TANROADS) Eng. Rogatus Mativila akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa TANROADS alipotembelea banda la Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi mapema Leo Jumatatu Novemba 22, 2021 katika maandalizi ya Wiki ya “Nenda kwa Usalama Barabarani ‘ ambapo TANROADS inashiriki kuanzia Novemba 23 hadi Novemba 27, 2021 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha .
Related Posts
Mbunge charles kimei atoa mashuka 50 kituo cha afya himo
Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei amekabidhi msaada wa shuka za kujifunika wagonjwa zipatazo 50 katika kituo cha…
Rc sendiga akabidhi pikipiki 42 kwa jumuiya za maji ruwasa
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga amekabidhi pikipiki 42 kwa jumuiya za watoa huduma za maji katika…
Magazeti ya leo jumapili 26 machi2023
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha