Rais magufuli akutana na rais shein dar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed
Sheini Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam.
Oktoba 30, 2019 .
PICHA NA IKULU