Rambirambi kwa magesa magesa

 Mwenyekiti wa Kurugenzi ya Mahusiano Cynsia Mwilolezi, Mwanachama wa APC Veronika Mheta wakimkabidhi fedha mwandishi Magesa Magesa kama sehemu ya rambirambi baada ya kufikiwa na mama yake mzazi, fedha hizo zilichangwa na waandishi wa habari na wanachama APC

Mwenyekiti wa Kurugenzi ya Mahusiano akibadilishana mawazo na mmoja ya wanachama wa APC Veronika Mheta ndani ya Ofisi za APC