Na Walter Mguluchuma -Malunde1 blog Katavi
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemuhukumu Lazaro
Charles(35) Mkazi wa Mtaa wa Mji Mwema katika Manispaa ya
Mpanda Mkoa wa Katavi kutumikia jela kifungo cha maisha baada ya
kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpa mimba mtoto wake kumzaa
mwenye (14) mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Majengo
Manispaa ya Mpanda.

Hukumu hiyo iliyovutia hisia za wakaz wengi wa Manispaa ya Mpanda
ilitolewa jana na Hakimu Mkazi mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya
Mpanda Gosper Luoga baada ya mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa
Mahakamani na upande wa mashtaka.

Katika kesi hiyo upande wa mashitaka ambao ulikuwa ukiongozwa na
wanasheria wa Serikali Gregory Muhangwa ulikuwa na mashahidi watano
na upande wa utetezi mshtakiwa alikuwa na shahidi mmoja ambaye ni mke
wake.

Awali katika kesi hiyo Mwanasheria wa Serikali Gregory Muhangwa
aliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kwa nyakati
tofauti Januari 1 mwaka 2017 na Aprili 29 mwaka 2019.

Ilidai kuwa mshtakiwa huyo alikuwa akitenda kosa hilo huko nyumbani
kwake wakati ambapo mke wake ambaye ni mama mzazi wa mtoto huyo
alipokuwa akiwa amesafiri ndipo alipokuwa akiingia kwenye chumba
alichokuwa akilala mtoto wake huyo na kumbaka kwa nguvu.

Mwendesha mashitaka huyo alieleza kuwa baada ya kuwa anambaka alikuwa
akimuwekea majani kwenye sehemu zake za siri za mtoto wake huyo kama
kuwa ndiyo dawa ya kienyeji ya kumwondolea maumivu kwenye sehemu zake
za siri.

Alisema hali ya mtoto huyo ilianza kubadilika na kuwafanya walimu wake
waamue kumpeleka hospitali na ndipo vipimo vya kitabibu vilivyoonyesha
kuwa mwanafunzi huyo alikuwa ni mjamzito na alipoulizwa mtoto huyo
alimtaja baba yake mzazi Razaro Charles kuwa ndiyo aliyempa ujauzito.

Hakimu Mkazi Mfawidhi Luoga baada ya kusikiliza ushahidi wa kesi
hiyo alisema Mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa
mashitaka.

Hivyo mahakama imemtia hatiani mshitakiwa kwa kosa la kifungu cha
sheria namba 158 (1) (a) sura ya 16 ya marekebisho ya sheria ya
mwaka 2002.

Hakimu Luoga alimtaka mshitakiwa kama atakuwa na sababu yoyote ile
ya msingi ambayo inaweza kuifanya mahakama iweze kushawishika ili
kumpunguzia adhabu basi inatoa nafasi kwa mshitakiwa kujijitetea.

Lazaro Charles aliiomba impatie nakala ya hukumu ya mwenendo wa kesi hiyo tu kwani hana utetezi wowote ule.
Baada ya ombi hilo la mshitakiwa mwanasheria wa Serikali Gregory
Muhangwa aliiomba mahakama itowe adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwe
fundisho kwa wazazi wengine wenye tabia kama hiyo.

Hakimu Luoga baada ya kusikiliza pande hizo mbili alisoma hukumu na
kuiambia Mahakama kuwa mshitakiwa amepatikana ya kosa la kifungu cha
sheria Namba 158 (1) (a ) SURA YA 16 ya marejeo 2002 na hatia hivyo
Mahakama inamuhukumu kutumikia kifungo cha maisha jela kuanzia leo
(JANA)