Dk.shein awaapisha viongozi aliowateuwa (washauri)

 Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar katika hafla
ya kuwaapisha Washauri katika sekata mbali mbali baada ya kuwateuwa
rasmi katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Abdulla  kuwa Mshauri wa Rais
Mambo ya Siasa katika iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo  Bw.Ali Mzee Ali baada ya kuapisha
kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya Historia na Mambo ya Kale
katika hafla iliyofanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw.Abdalla
Rashid Abdulla na Bw.Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Hassan Othman Ngwali na Mshauri wa Rais Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Mwanasheria Mkuu
wa Zanzibar Said Hassaan Said pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika 
hafla ya kuapishwa washauri akiwemo Mshauri wa Rais Siasa Bw.Abdalla Rashid Abdulla na Bw.Ali Mzee Ali Mshauri wa Historia na Mambo ya Kale katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ikulu]