Ilani ya uchaguzi ya wanawake uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tanzania 2020 yazinduliwa

Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka
2020 imezinduliwa rasmi leo Septemba 27,2019 wakati wa kufunga Tamasha
la 14 la Jinsia 2019 katika viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo Jijini Dar
es salaam.

Ilani hiyo inayojumuisha sauti za
wanawake kutoka sauti za wanawake kutoka makundi mbalimbali chini ya
Uongozi wa TGNP Mtandao kwa kushirikiana na Taasisi ya Women Fund
Tanzania na Mtandao wa Wanawake na Katiba,Uchaguzi na Uongozi
imezinduliwa na Mwenyekiti wa TGNP Mtandao Asseny Muro.

Awali akizungumza,Mwenyekiti wa Mtandao
wa Wanawake na Katiba,Ruth Meena alisema ilani hiyo imebeba masuala
muhimu yanayohusu wanawake kwenye uchaguzi.

“Ilani hii imebeba ajenda ya
mwanamke,turufu ya ushindi 2019/2020 imewalenga wanawake,serikali,vyama
vya siasa,wagombea nafasi za uongozi,vyombo vya habari na wapiga kura”
,alisema Muro.

Alisema ilani hiyo inaendeleza madai ya
wanawake watetezi wa haki za ushiriki katika uongozi wa kisiasa tangu
taifa lipate uhuru mpaka leo.

“Hii ni ilani ya tano iliyobeba madai
ya wanawake tukiwa wadau na washiriki wakuu katika michakato mbalimbali
ya uchaguzi.Ilani ya kwanza ilikuwa ya mwaka 2000 ikijulikana kama
ilani ya wapiga kura,ilani ya pili ni ya mwaka 2005,ya tatu ni ya mwaka
2015 na ya nne ni ilani ya mwaka 2015”
,alieleza Muro.

“Sisi wanawake wapiga kura tunatambua
ni wadau muhimu kwenye shughuli zote za kisiasa na maendeleo ya
jamii.Tunatambua na kudai haki za kushiriki katika uchaguzi kama wapiga
kura na wanaowania nafasi za uongozi,walioteuliwa na kugombea hatimaye
kushinda nafasi za uongozi kupitia uchaguzi”,
aliongeza.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP
Mtandao,Lilian Liundi alisema madai yaliyomo kwenye ilani ya uchaguzi ya
wanawake yanahusu masuala ya wanawake wote nchini Tanzania.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na
Katiba,Ruth Meena akielezea kuhusu Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka
2020 ambayo imezinduliwa rasmi leo Septemba 27,2019 wakati wa kufunga
Tamasha la 14 la Jinsia 2019 katika viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo
Jijini Dar es salaam.
Kulia ni Mwenyekiti wa TGNP Mtandao
Asseny Muro akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Ilani ya Uchaguzi
ya Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa
Tanzania mwaka 2020 
Mwenyekiti wa TGNP Mtandao Asseny Muro
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake
ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka
2020 
Mwenyekiti wa TGNP Mtandao Asseny Muro
akionesha Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za mitaa
2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020 
Mwenyekiti wa TGNP Mtandao Asseny Muro
akionesha Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za mitaa
2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020.
Wafanyakazi wa TGNP Mtandao wakionesha mabango yenye ujumbe wa ‘Uongozi sio misuli ni hekima na busara kila mtu anao’.
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao
Lilian Liundi akionesha Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa
serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020 .
Mwenyekiti wa TGNP Mtandao Asseny Muro
akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za
mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020,Mkurungezi wa Jinsia
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Julius
Mbilinyi.
Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya
Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa
Tanzania mwaka 2020 ukiendelea.

Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya
Wanawake ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa
Tanzania mwaka 2020 ukiendelea.
Wanaharakati wakisherehekea wakati wa
uzinduzi wa Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa
serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020.

Wanaharakati wakisherehekea wakati wa
uzinduzi wa Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa
serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020.
Wanaharakati wakisherehekea wakati wa
uzinduzi wa Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa
serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020.
Wanaharakati wakisherehekea wakati wa
uzinduzi wa Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake ya Uchaguzi wa
serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2020.


Mkurungezi wa Jinsia Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Julius Mbilinyi
akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la 14 la Jinsia 2019 katika
viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo Jijini Dar es salaam.

Mkurungezi wa Jinsia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Julius Mbilinyi akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la 14 la Jinsia 2019 katika viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo Jijini Dar es salaam. Mkurungezi wa Jinsia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Julius Mbilinyi akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la 14 la Jinsia 2019 katika viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo Jijini Dar es salaam.