Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linawatahadharisha wananchi kutothubutu kuvuka kwenye madaraja au makaravati yaliyofunikwa na maji kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Related Posts
Shahidi aeleza mahakama adhabu ilivyosababisha ulemavu wa mgongo kwa mwanafunzi
Kesi ya jinai inayomkabili Mwalimu Focus Mbilinyi , dhidi ya Jamhuri kwa tuhuma za kumpiga Mwanafunzi na kumsababishia ulemavu, imeendelea…
Ccm nao kutoa tamko kesho kutwa kuhusu uchaguzi serikali za mitaa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema chama hicho kwa sasa kinaendelea kufuatilia muenendo…
Kipenga cha kujaza nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha chafungwa leo
Charles Panga Na Ahmed Mahmoud Arusha MCHAKATO wa uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya mwenyekiti wa chama cha Mapiduzi CCM mkoa…