Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.
Anthony Mtaka akizungumza na baadhi ya wananchi na viongozi CCM Mkoa wa
Simiyu, baadhi ya viongozi na wajumbe wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya Mkoa, Mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa ,
katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo
cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere lililofanyika Oktoba
14, 2019 Mjini Bariadi.

Baadhi ya wananchi na baadhi ya
viongozi CCM Mkoa wa Simiyu, viongozi na wajumbe wa Umoja wa Vijana wa
Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya mkoa, Mikoa mbalimbali na ngazi ya
Taifa , wakishangilia jambo katika Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya
Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini Bariadi.

Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM
Mkoa wa Simiyu, Ndg. George Mayunga akizungumza na baadhi ya viongozi
CCM Mkoa wa Simiyu, viongozi na wajumbe wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya mkoa, mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa ,
wakishangilia jambo katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi
ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere

Anthony Mtaka (wa tano kushoto) na baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa
Simiyu, UVCCM Simiyu, UVCCM mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa
wakishangilia jambo, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya
Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini Bariadi.
Anthony Mtaka (wa tano kushoto) na baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa
Simiyu, UVCCM Simiyu, UVCCM mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa
wakishangilia jambo, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya
Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini Bariadi.
Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM
Mkoa wa Simiyu, Ndg. Haula Kachwamba, Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Enock Yakobo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, wakiteta jambo wakati wa
Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa
Mwl. Julius Kambarage Nyerere lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini
Bariadi.

Mjumbe wa NEC Taifa kupitia mkoa
wa Simiyu, Ndg. Gungu Silanga akizungumza na baadhi ya viongozi CCM
Mkoa wa Simiyu, viongozi na wajumbe wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Simiyu, mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa,
wakishangilia jambo katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi
ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini Bariadi.
wa Simiyu, Ndg. Gungu Silanga akizungumza na baadhi ya viongozi CCM
Mkoa wa Simiyu, viongozi na wajumbe wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Simiyu, mikoa mbalimbali na ngazi ya Taifa,
wakishangilia jambo katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi
ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
lililofanyika Oktoba 14, 2019 Mjini Bariadi.
………………………
Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.
Anthony Mtaka amesema serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe inamuenzi Hayati Baba
wa Taifa, Mwl Julius Kambarage Nyerere kwa vitendo hususani katika
kuendeleza kazi nzuri alizozifanya.

Mtaka ameyasema hayo Oktoba
14, 2019 katika Kongamano la Kitaifa la Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo
cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere lililofanyika Oktoba 14,
2019 Mjini Bariadi, likiwashirikisha viongozi wa Serikali, wananchi na
baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu, UVCCM Simiyu, UVCCM kutoka
mikoa mbalimbali nchini na ngazi ya Taifa(makao makuu).

“Mwalimu amepewa heshima ya
kuenziwa ninyi kizazi hiki mnashuhudia kwa macho, wapo watu
wanasimuliwa tu kuwa ile barabara inaitwa ‘Nyerere road’, lakini
hamkuwepo; leo mnajua kwamba hifadhi fulani inaitwa Hifadhi ya Taifa ya
Nyerere, mnasikia Mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa J.K. Nyerere,
Mhe.Rais amemheshimisha Mwalimu kwa vitendo,” alisema Mtaka

“Mwalimu aliamini katika
Watanzania kufanya shughuli za kiuchumi ikiwemo kilimo, ufugaji na
uvuvi na akataka waongeze thamani katika shughuli hizo; ndiyo maana Mhe
Rais ameanza kufufua viwanda vya nguo, viwanda vya korosho, viwanda vya
kahawa na mengine aliyoyaacha Mwalimu, “ aliongeza Mtaka.

Aidha, Mtaka amemzungumzia Mwalimu
Nyerere kuwa alikuwa kiongozi wa karne mwenye utu, maono na msimamo
ambaye alijua wapi anapotoka na anapotakiwa kwenda kama kiongozi na
aliyewaheshimisha Watanzania.

Katika hatua nyingine Mtaka ametoa
wito kwa Vijana wa UVCCM kuwaeleza ukweli na kuwashauri viongozi
vijana ndani ya Serikali kufanya kazi zao kwa kuzingatia misingi ya
uongozi na kuepukana na tabia ya kuweka urasimu wa kufikika na watu ,
ili viongozi hao watekeleze vema wajibu wao wa kuwatumikia wananchi na
kumsaidia Mhe. Rais Magufuli katika majukumu aliyowapa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Simiyu, Mhe.Enock Yakobo amewataka vijana kumuenzi Hayati Baba
wa Taifa, Mwl. Julius K. Nyerere kwa kufanya kazi kwa bidii, ili
wajiletee maendeleo kwa kuwa Mwalimu aliamini kuwa kazi ni kipimo cha
uhai.

Naye Kaimu Katibu Idara ya
Mahusiano ya Kimataifa na Vyuo Vikuu, Bi Asha Feruz amesema kwa kuwa
vijana wengi wamezaliwa wakati Hayati Baba wa Taifa,Mwl. Julius K.
Nyerere akiwa amefariki ni vema vijana hao wakasoma vitabu, ili wajue
historia ya mwalimu na waasisi wengine wa Taifa la Tanzania.

Mmoja wa Wajukuu wa Mwalimu
Nyerere Chifu Edward Magige amesema pamoja na Watanzania kuendelea
kukumbuka na kuenzi mambo mazuri yaliyofanywa na Hayati Mwalimu Nyerere
ni vema pia wakaukumbuka mchango wa Mama Maria Nyerere katika kazi
zilizofanywa na mwalimu.

Mbunge wa Jimbo la Itilima
Mhe. Njalu Silanga ametoa wito kwa Vijana hapa nchini kujitokeza kwa
wingi kujiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura, ili waweze
kuitumia vema haki yao kuchagua viongozi bora ikiwa ni namna mojawapo ya
kumuenzi Baba wa Taifa kwa kuchagua viongozi watakaosimamia misingi ya
uongozi aliyoiweka.