Majaliwa akiwa kijijini nandagala alikozaliwa


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimnyanyua mtoto Safina Selemani (3) wakati aliposhiriki katika
mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji alichozaliwa cha Nandagala
wilayani  Ruangwa, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Muhidin Hassan Said wakati alipoingia kwenye duka la
mfanybiashara huyo katika kijiji alichozaliwa cha Nandagala wilayani
Ruangwa, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na vijana wa kikundi cha uhamsishaji cha wilaya ya Ruangwa
kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya wilaya hiyo, Oktoba 9, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)