Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akisalimiana na
viongozi wakati akiwasili kwa ajili ya kufungua na kuzindua kituo cha
mafuta cha Sheli ya Kampuni ya Admire Oil jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akiwa na Mkurugenzi wa
kampuni ya Admire Oil Bw.Said Mire Artan wakati wa kufungua na kuzindua
kituo cha mafuta cha Kampuni ya Admire Oil jijini Dodoma.

Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akikunjuwa kitambaa
kuashiria uzinduzi wa Jiwe la Msingi Kituo cha Mafuta Kipya cha Kampuni
ya Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.

Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akipiga makofi mara baada ya
kuzindua Jiwe la Msingi la Kituo cha Mafuta Kipya cha Kampuni ya
Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.

Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akikata utepe katika hafla
ya uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil
kilichofunguliwa jijini Dodoma.

Msemaji wa Kampuni ya Admire Oil
Bw.Mohammed Ibrahim,akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha
mafuta kampuni ya Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Bw.Mohammed Ibrahim,akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha
mafuta kampuni ya Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akizugumza na wananchi
waliohudhuria katika ufunguzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya
Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akizugumza na wananchi
waliohudhuria katika ufunguzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya
Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Sehemu ya wananachi waliohudhuria
katika ufunguzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil
kilichofunguliwa jijini Dodoma.
katika ufunguzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil
kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Hii ndo Sheli mpya ya kampuni ya
admire Oil iliyofunguliwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,
Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,jijini Dodoma.

Baadhi ya waendesha bodaboda
wakiwa kwenye foleni wakisubiri kujaziwa mafuta bure mara baada ya
kufunguliwa kwa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya admire Oil jijini
Dodoma.
wakiwa kwenye foleni wakisubiri kujaziwa mafuta bure mara baada ya
kufunguliwa kwa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya admire Oil jijini
Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akimtazama meneja wa kituo
hicho Bw.Faisal Abdalah akibonyeza ili mafuta yaanze kutoka
katika kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil
kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akimtazama meneja wa kituo
hicho Bw.Faisal Abdalah akibonyeza ili mafuta yaanze kutoka
katika kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil
kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akisisitiza jambo wakati wa
hafla ya uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya Admire Oil

Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akijaza mafuta kwenye
bodaboda mara baada ya kuzindua kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya
Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akijaza mafuta kwenye
bodaboda mara baada ya kuzindua kituo kipya cha mafuta cha kampuni ya
Admire Oil kilichofunguliwa jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde,akiwa katika picha ya pamoja
na viongozi wa kampuni ya admire Oli mara baada ya kuzindua kituo
kipya cha mafuta.

PICHA NA ALEX SONNA-FULLSHANGWE BLOG
………….
Na.Alex Sonna,Dodoma
SERIKALI imesema itaendelea
kushirikiana na wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wote wa maendeleo
ambao wanawekeza nchini ikiwa ni pamoja na kuweka mazingira rafiki kwao.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Mhe Anthony
Mavunde,alipokuwa akizundua pamoja na uwekaji wa jiwe la msingi katika
kituo cha mafuta cha Amire Oil inayofanya biashara ya mafuta mikoa
mbalimbali nchini.

Mhe Mavunde amesema serikali ya
awamu ya tano chini ya Rais Dk John Magufuli inathamini wawekezaji
kutokana na mchango wao katika kutoa ajira na kukuza pato la Taifa
kupitia kodi wanazolipa.

” Niupongeze uongozi wa Kampuni
hii kwa kukuona umuhimu na ulazima wa kuja kuwekeza katika Jiji la
Dodoma kwani kufanya hivyo kutaongeza fursa kubwa za ajira kwa vijana
ikizingatiwa tayari mmeshaajiri ajira 20 mpaka sasa kwa wananchi wa

Sisi kama Serikali tunaendelea
kutoa wito kwa wawekezaji wengine kuja kuwekeza katika Jiji hili ambalo
ndio Makao Makuu ya Serikali lakini pia kuna maeneo mengi ya Uwekezaji
na rafiki kwa ajili ya kujenga viwanda, hoteli na hata majengo ya
kibiashara, ” Amesema Mhe Mavunde.

Awali Msemaji wa makampuni ya
Admire Oil Bw.Mohamed Ibrahim ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa
ushirikiano kwa wawekezaji jambo ambalo linaongeza ari kwao ya kuzidi
kufanya Uwekezaji katika maeneo mengi zaidi nchini.

” Kwa kweli serikali ya Rais
Magufuli imetoa mazingira rafiki sana kwa wafanyabiashara hasa
wazalendo. Sisi tunaahidi kuendelea kushirikiana na serikali yetu ili
kufikia ndoto ya Rais wetu ya Tanzania ya viwanda.

Tunafahamu lengo la kila
mfanyabiashara ni kuwekeza na kupata faida lakini kampuni yetu ya Admire
moja kati ya malengo yake makubwa ni kugawa ajira kwa akina Mama na
vijana wengi nchini, ” Amesema Ibrahim.

Aidha amesema kuwa wameajiri
vijana wengi sana takribani watu mia moja na hamsini nchini na kati ya
hao wengi wao ni wanawake ili tu kuwainua pamoja na kuwawezesha
kiuchumi.

Kampuni ya admire Oil ina matawi
mengi katika mikoa mbalimbali nchi kituo kikubwa kikiwa ni mkoa wa Pwani
pamoja na mikoa ya Mwanza,Arusha,Mbeya,Dar es Salaam na Dodoma
tunapatikana katika huduma ya mafuta.