Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe.
George H. Mkuchika (Mb) akifungua kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana
ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo
la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano
kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Mawaziri wenye dhamana ya masuala
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (mbele) wakiwa kwenye
kikao kazi na baadhi ya watendaji wa Serikali ya Muungano kilichofanyika
jana jijini Dar es Salaam. Kikao kazi hicho kilikuwa na lengo la
kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud
akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya
masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo
la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha
muungano, kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Waziri huyo ndiye
mwenye dhamana ya kushughulikia masuala ya muungano.

Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri
wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na
kuimarisha Muungano kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.

……………………..
Na James K. Mwanamyoto-Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst),
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala
Bora wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman
wamefanya kikao kazi kujadili namna bora ya kuboresha utoaji wa huduma
kwa umma pamoja na kuimarisha Muungano ili uendelee kuwa na tija kwa
wananchi.

Akifungua kikao kazi hicho, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst),
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) amesema pamoja na kujadili masuala ya
kuboresha huduma pia kililenga kuimarisha muungano ili kuwaenzi kwa
vitendo waasisi wa taifa letu Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na Sheikh
Abeid Amani Karume.

Mhe. Mkuchika amefafanua kuwa,
katika kikao kazi hicho wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya kutoa
huduma bora na kwa wakati kwa wananchi wa pande zote mbili za muungano
ambao ndio walengwa wakuu wa huduma zinazotolewa na Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman amesema wao kama mawaziri wenye
dhamana ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wanataka ushirikiano wa
taasisi zinazoshughulikia masuala ya kiutumishi na utawala bora
uendelezwe kwa vitendo kwa ajili ya manufaa ya wananchi.

Mhe. Suleiman amesisitiza
kuwa, ushirikiano huu una manufaa katika kuboresha huduma zitolewazo na
taasisi za umma kwa wananchi na una tija katika kuongeza ufanisi wa
utendaji kazi wa Taasisi za Umma nchini.

Mhe. Suleiman amewataka
wajumbe wa kikao hicho, kuhakikisha misingi madhubuti ya kiutendaji
iliyojengwa katika kikao kazi hicho inaimarishwa ili utekelezaji wake
uwe wa vitendo na uweze kuwa chachu ya kutoa huduma bora kwa wananchi.

Masuala yaliyojadiliwa katika
kikao kazi hicho kudumisha ushirikiano katika masuala ya Ajira, Serikali
Mtandao, Udhibiti wa rushwa, Usimamizi wa Maadili ya Viongozi, Mafunzo
kwa Watumishi wa Umma, Utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Utumishi
wa Umma, Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma, Uandaaji wa Miundo na
Mifumo ya Taasisi na Utawala Bora kwa ujumla.