Mbunge mteule neema lugangira akutana na wazee bukoba mjini.

MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira akizungumza na wazee wa Mitaa 10 ya Kata tatu za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania .
MBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira akizungumza na wazee wa Mitaa 10 ya Kata tatu
za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi
katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania .

MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira akizungumza na wazee wa Mitaa 10 ya Kata tatu za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania

MBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira kushoto akizungumza na wazee
MBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabili
MBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira kushoto akisalimiana na mmoja wa wazee baada ya kuzungumzaMBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabiliMBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabili

NA MWANDISHI WETU,BUKOBA.
MBUNGE
Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania
Bara Neema Lugangira amewahaidi Wazee wa Bukoba Mjini kwamba atakuwa
mtetezi wao ikiwemo kuimarisha mazingira ambayo yatawawezesha kupata
huduma muhimu za kijamii.
Neema
aliyasema hayo wakati alipokutana na wazee kutoka Mitaa 10 ya Kata tatu
za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi
katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania .
Alisema
kwa kutambua umuhimu wa wazee ambao ni rasilimali muhimu katika
Maendeleo ya Taifa letu ndio maana aliamua kukutana nao kupata uelewa
mpana wa changamoto na mahitaji yao.
Mbunge
huyo Mteule alisema pia aliwapa Wazee wa Bukoba Mjini uelewa wa kina wa
namna ambavyo CCM imejipanga kuimarisha mazingira ambayo yatamwezesha
mzee kupata na kutumia huduma muhimu za kijamii ili aweze kuishi kwa
usalama na heshima.
‘Katika
hilo wazee wangu walifurahi sana na zaidi walipoona changamoto
walizowasilisha kwangu zimeshajibiwa na kuwekewa mipango mikakati
thabiti kwenye ilani yetu ya CCM mwaka 2020-2025” Alisema