Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwanga,
iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zakaria Richard amekamatwa na Jeshi la
Polisi kwa madai ya kumbaka na kumlawiti mwanafunzi mwenye miaka 10,
anayesoma darasa la tano katika Shule hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari
mkoani Kigoma, Kamanda wa Polisi Kigoma ACP. Martin Otieno, amesema
Mwalimu huyo alikabidhiwa mtoto kwa ajili ya kumfundisha tuisheni ndipo
akawa anatumia fursa hiyo kumfanyia ukatili.

“Tunamshikilia huyo mwalimu kwa
kumfanyia vitendio vya kikatili, kwa sababu mwanzoni alikabidhiwa na
wazazi wake lkini yeye akaenda mbali zaidi, na kumbaka na kumlawiti”
amesema Kamanda Ottieno

Aidha RPC Otieno amewataka Wazazi kuwa
na utaratibu wa kuwakagua Watoto na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza pindi
wanapokuwa na matatizo yao.