Na Mwandishi Wetu
Katika
kwenda sambamba na siku 20 zilizongezwa na Rais Dkt.John Magufuli
wakati akisajili laini yake ya simu kwa alama za vidole Desemba 27,2019
mjini Chato mkoani Geita,Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)
wametakiwa kuongeza idadi ya watumishi katika kituo cha kuchakata
taarifa za waombaji nchi nzima kilichopo Kibaha mkoani Pwani ili
kuhakikisha kila mwananchi anayekidhi vigezo kupata Kitambulisho cha
Taifa ili aweze kusajili laini yake ya simu.

Akizungumza
baada ya kutembelea kituo hicho Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt.
Anold Kihaule kuongeza idadi ya watumishi katika kituo hicho na kuongeza
pia masaa ya kufanya kazi kutoka nane mpaka kumi na sita ili
kuhakikisha wananchi wanapata namba na vitambulisho baada ya nyongeza ya
siku 20 ziliyotolewa na Rais Magufuli.

“Nimetembea
katika vituo mbalimbali vya NIDA nchi nzima,changamoto kubwa wanayotoa
wananchi ni kwenda kila siku kufuatilia kitambulisho au namba katika
kituo husika lakini wamekua wakipata majibu kwamba bado kipo kwenye
mchakato,wakati mwingine ameomba miaka mitatu iliyopita sasa anapoteza
muda na gharama kufuatilia kitambulisho lakini nimetembelea hapa leo
nimegundua uchache wa watumishi,mkurugenzi ongeza watumishi hapa..”
alisema Masauni

“……naomba
pia ongeza muda wa kufanya kazi,kutoka masaa nane mpaka kumi na
sita,Rais ashasema muda hautaongezwa wa usajili laini za simu,sasa
wananchi wanafurika na kupata taabu vituoni huko,sisi ndio wawakilishi
wao lazima tuwasemee na mkuu wa nchi ashatoa maelekezo sasa ni
utekelezaji tu” aliongeza Masauni

katika ziara hiyo Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Anold Kihaule alisema
watayatekeleza maagizo hayo ya serikali huku akiwaasa wananchi ambao
tayari wana namba za utambulisho waende kusajili laini zao ili kwenda
sambamba na muda ulioongezwa na Rais Dkt. Magufuli.

“Jumla
ya watu milioni 7.6 tayari wana namba za utambulisho nchi nzima na kila
siku tunaendelea kutoa namba hizo sehemu mbalimbali nchini na mnaweza
kuona kwa Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja tunatoa namba
pale nani zoezi la siku zote za wiki,hatuna sikukuu wala siku za mwisho
za wiki” alisema Dkt.Kihaule

Kila
mmiliki wa simu ya mkononi anatakiwa kusajili laini yake kwa alama za
vidole kwani kutofanya hivyo itamaanisha kutoweza kupiga wala kupokea
simu,vile vile muhusika hatoweza kutuma wala kupokea ujumbe mfupi wa
maneno.