|
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha
mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya
Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari
za virusi vya corona na namna ya kujikinga

Washiriki
wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari
za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya
kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam
Tanzania

Afisa
Maendeleo ya jamii kutoka kata ya Kateshi wilayani Hanang’ akichangia
mada katika mafunzo hayo ya siku moja yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam
katika wilaya ya Babati mkoani Manyara

Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo ya siku moja
Naelijwa
Mshanga Afisa miradi kutoka shirika la Oxfam Tanzania kanda ya
kaskazini akifuatilia mafunzo yanayoendelea ya dhidi ya kujengewa
ueklewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga
ikihusishwa na maswala ya kijinnsia na kazi za nyumbani

Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akihitimisha
mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya
Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari
za virusi vya corona na namna ya kujikinga
mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya
Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari
za virusi vya corona na namna ya kujikinga
Mzee wa kimila Thomas Madiye Sixista akiwa na mkalimani wake Albert Masuja akielezea namna wao wanavyoshiriki katika kutoa elimu kwa jamii namna ya kujikinga na maambukizi ya uvirusi vya corona
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini mafunzo yanayoendelea kutolewa
Muendelezo
wa mafunzo ya uelewa juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya
Corona kwa watendaji wa vijiji na kata pamoja na wazee wa kimila
,watumishi wa Afya katika mkoa wa Manyara

Daktari
Giliad Zablon kutoka hospitali ya wilaya Hanang’Tumaini akiainisha
baadhi ya dalili za Covid- 19 kwa washiriki wa mafunzo ya kujengewa
uelewa yaliyoandaliwa na kuendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam
nchini Tanzania
Giliad Zablon kutoka hospitali ya wilaya Hanang’Tumaini akiainisha
baadhi ya dalili za Covid- 19 kwa washiriki wa mafunzo ya kujengewa
uelewa yaliyoandaliwa na kuendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam
nchini Tanzania
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha
mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya
Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari
za virusi vya corona na namna ya kujikinga
mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya
Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari
za virusi vya corona na namna ya kujikinga
Mmoja
ya wazee wa kimila aliyehudhuria mafunzo hayo ya siku moja ya kujengewa
uelewa dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga.

Na.Vero Ignatus,Manyara
Oxfam Tanzania
imeendesha Mafunzo ya kujenga uelewa dhidi ya athari za virusi vya
corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi
za nyumbani na kuwahusisha watendaji mbalimbali kutoka yaliyofanyika
Babati mjini ukumbi wa Good Life Hotel

Akizungumza Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu amesema
kuwa shirika hilo limetengeneza utaratibu kwaajili ya kukabiliana na
majanga ,hivyo wameandaa mpango mkakati wa kujihadhari na kutambua
ugonjwa huo una athari kiasi gani katika jamii na namna ya kukabiliana
nao

Fungu amewataka
viongozi wote walioshiriki mafunzo hayo kuhakikisha kuwa jamii kwa
ujumla ambayo inahisiwa ipo katika mazingira hatarishi wanakuwa na
taarifa katika lugha ya kuaminika na taarifa hizo zitoke katika chanzo
sahihi na kuepuka habari zinazoleta taharuki zinazosambazwa kwenye
mitandao ya kijamii.

Daktari Giliad Zablon kutoka
hospitali ya wilaya Hanang’Tumaini ameainisha baadhi ya dalili za
Covid- 19 kuwa ni pamoja na homa, joto la mwili kupanda,mwili
kuchoka,kupumua kwa shida,viungo kuuma,kichwa kugonga,mafua,kichefuchefu
au kutapika,kuhara,vidonda vya koo,kikohozi wakati mwingine makohozi
yanachanganyika na damu.

Amesema
ni vyema kila mwanajamii ajenge tabia ya kunawa mikono marakwa mara kwa
maji tiririka na waepuke kusalimiana kwa kushikana mikono pamoja na
kukumbatiana

Kwa upande wake Katibu wa Afya mkoa wa Manyara Evance Simkoko amesema
kuwa wameainisha sehemu maalum za kuwatenga wale wote wanaohisiwa kuwa
na dalili za covid-19 kwaajili ya kuchukuliwa sampuli.

Simkoko ameeleza
juu ya serikali ya mkoa huo kudhibiti upandaji holela wa vitakatishi
vya mikono pamoja nan doo zinazoandaliwa kwaajili ya maji ya kunawa
katika maeneo mbalimbali.

Mafunzo
hayo yamewashirikisha wenyeviti wa serikali za vijiji,wazee wa Kimila
wataalamu wa afya ,Maafisa maendeleo ya jamii wilaya Mafisa ustawi wa
jamiii,pamoja na madaktari wa binadamu ambapo waliendesha kikao hicho
kwa njia ya majadala

Akizungumza kwa niaba ya wazee wa kimila Mzee Thomas Madiye Sixista amesema
kuwa imekuwa ni changamoto kwa wazee hao kuifikia jamii kutoa elimu
kutokana na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ingawa wanaipongeza serikali kwa
hatua walizozichukua na utoaji wa elimu unaoendelea katika jamii

Madiye amesema
kuwa japokuwa elimu bado inahitajika kwani bado kwenye magari ya
usafiri wa abiria wameendelea kujaza abiria kupita uwezo wa gari

Aidha
hadi sasa serikali imechukua jitihada mbalimbali za kuhakikisha
wananchi wanajiepusha na maambukizi imeweka utaratibu kwenye viwanja vya
ndege,kuzuia vibali vya kusafiri nje yan chi, kufunga shule zote za
msingi na vyuo,kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, kuhakikisha kuwa
kila mwananchi ananawa mikono kwa usalama wake.

Ugonjwa
huu wa Corona ulitangazwa kuingia nchini kwa mara ya kwanza 16 machi
2020 hadi sasa Tanzania imeripotiwa kuwa na nwagonjwa wapo 13 katika
mikao ya Arusha 2 Dar es salaam 8,Zanzibar 2 na Kagera 1 hadi sasa
hakuna taarifa zozote za kifo kilichosababishwa na ugonjwa wa virus vya
Corona.