Habari Picha: muonekano wa jengo la kisasa la abiria katika uwanja wa ndege jijini mwanza mara tu ujenzi wake utakapokamilika. Mwandishi Wetu18 November 2019 Ujenzi wa jengo hilo la kisasa umeanza Septemba mwaka huu na litagharimu takribani shilingi bilioni 12. Gharama za ujenzi ni kodi za wananchi kupitia mapato ya Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemelea na Serikali Kuu. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Serikali yawataka waajiri wa makocha kutoka nje kutoa taarifa zao tra ili walipe kodi Na. Josephine Majura na Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imezitaka timu zote za mpira zinazoajiri makocha na wachezaji kutoka nje…
Tfs watoa msaada wa viti, meza na madawati wilayani muheza Mkuu wa Wilaya ya Muheza Halima Bulembo kushoto akipokea msaada wa madawati,viti na meza kutoka kwa Mhifadhi wa shamba…
Watumishi watatu wa tbs washikiliwa kwa kosa la kumtapeli mmiliki wa kiwanda Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Katikati) akizungumza leo na wandishi wa habari makao Makuu ya Shirika…