Picha : rais magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu
Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019. Picha na Ikulu