Rais dk shein aongoza wanavikundi katika tamasha la sita la matembezi na mazoezi zanzibar.

Vikundi mbalimbali vya mazoezi
vikipita eneo la Michenzani kisonge katika Tamasha la Sita la mazoezi ya
viungo lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa
kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong
Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi
ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiongoza Viongozi na
Wananchi mbalimbali katika Tamasha la Sita la matembezi na mazoezi ya

ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipotoa
hotuba katika Tamasha la Sita la Matembezi na  mazoezi ya viungo
lililoanzia Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa