Kesi
ya jinai inayomkabili Mwalimu Focus Mbilinyi , dhidi ya Jamhuri kwa
tuhuma za kumpiga Mwanafunzi na kumsababishia ulemavu, imeendelea
kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Njombe, ambapo
mashahidi wawili wa upande wa Jamhuri wamefika mahakamani hapo
kuwasilisha ushahidi wao.

hiyo namba 141 ya mwaka 2019, inayomkabili aliyekuwa Mwalimu wa Shule
ya Msingi Madeke, Focus Mbilinyi, imeendelea kusikilizwa mahakamani hapo
chini ya Hakimu Irvan Msaki na Wakili wa Serikali Elizabeth Malya.

Shahidi
wa Kwanza Given Nyanginywa, ameiambia Mahakama kwamba mnamo tarehe 21
March, Mwalimu Focus Mbilinyi, alitoa Hesabu 10 na baadae alitoa adhabu
kwa wanafunzi wote waliokosa na miongoni mwa walioadhibiwa siku hiyo ni
pamoja na Hosea Manga, ambaye alipigwa viboko 10 huku akiwa
amening’inizwa dirishani kwa mtindo wa miguu juu kichwa chini, ambapo
baada ya Hosea kupigwa viboko hivyo, alianguka chini na kushindwa
kunyanyuka.

Kwa
Upande wake shahidi namba 4 Daktari Silvery Mwesige, ameiambia Mahakama
kwamba, Mtoto Hosea Manga walimpokea takribani wiki mbili, baada ya
kupata matatizo akitokea Hospitali ya Ikonda.

Ameiambia
Mahakama pia baada ya vipimo kufanyika walibaini kuwepo kwa mgandamizo
chini ya uti wa mgongo, uliopelekea kupishana kwa pingili za uti wa
mgongo na kusababisha mfumo wa damu kushindwa kupenya kwenda sehemu za
chini za mwili wa mtoto huyo.

Licha
ushahidi huo kuwasilishwa mahakamani hapo pamoja na kielelezo cha
Ripoti ya Matibabu ya mtoto huyo, mawakili upande wa utetezi walipinga
kielelezo hicho kwa madai ya kwamba, ripoti hiyo ya matibabu
imewasilishwa na mtu ambaye hajaiandaa, pingamizi ambalo Mahakama
imelitupilia mbali.

hiyo imesikilizwa kwa zaidi ya masaa sita, ambapo baadaye Mahakama
ilikikubali kielelezo hicho kilichowasilishwa na Daktari silvery
Mwesige, kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha mifupa MOI,
na kesi hiyo imeahirishwa hadi Desemba 2, 2019.

Kesi hiyo ni ya pili kufunguliwa kwa tukio lililomkuta mtoto Hosea Manga.
Kesi ya awali namba 83 ya mwaka 2017 ilifutwa kutokana na daktari
aliyemtibu kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili kushindwa kufika
mahakamani kutoa ushahidi licha ya kuitwa mara nane.