Taarifa ya matumizi ya tiketi mtandao kwenye mabasi

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA Bw.Gilliard Ngewe (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Mamlaka hiyo  Jijini Dar es Salaam.Kulia kwake ni Afisa Habari Mwandamizi LATRA Bw.Salum Pazzy na kushoto ni Meneja Mradi wa Tiketi Mtandao LATRA.