Na Alex Sonna, Chemba.
Mkuu
wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma,
Sosthenes Kibwengo, amemuagiza Mkandarasi wa Kampuni ya JUAN,
inayotekeleza mradi wa Maji wa Kelema Kuu, katika Kijiji Cha Kelema
Balai Wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, kuhakikisha ndani ya siku kumi
mradi huo uwe umekamilika.

Mradi
wa Maji wa Kelema Kuu wenye thamani ya shilingi milioni Mia mbili
ishirini na tatu,(milioni 223) na ulianza kutekelezwa tangu mwaka 2014
na ulikamilika lakini ikitoa maji zaidi ya wiki mbili tu, kwa kutandikwa
mabomba yakiyochini ya kiwango na kuamuriwa mkandarasi huyo kutandika
mabomba mengine yenye viwango.

huyo wa TAKUKURU ametoa maagizo hayo Mara baada ya kutembelea mradi huo
na kuagiza ndani ya siku kumi mradi huo uwe umekamilika na wananchi
waanze kupata huduma ya maji Safi na salama ambayo wameikosa kwa mda
mrefu.

“Tumetoa
siku hizo kumi kwa hawa wakandarasi wakamilishe kwa sababu mvua
zikizidi watapata visingizio na Kama unavyoona Kuna sehemu wamechimba na
Kutokana na mvua mtaro unafukiwa na tope,” amesema Kibwengo.

Akitoa
ufafanuzi baada ya kufanya uchunguzi wao amesema walichokibaini ni
kwamba yaliyonunuliwa kuweka katika mradi huo yenye PN 6 badala ya 12.5
kama zilivyoidhinishwa katika mkataba wa kutekeleza mradi hio.

Amesema
siku hizo walizotoa hakutakuwa na msamaha wowote kwa kampuni hiyo
kwasababu ni uzembe na udanganyifu uliofanywa na mkandarasi huyo
kinachotakiwa ni wao kufanya kazi jaraka iwezekanavyo hasa ukizingatia
mitaro tayari imechimbwa.

Naye
Mhandisi wa wakala wa maji vijijini (RUWASA) wilayani Chemba Robert
Mganga amesema kazi iliobakia ni nyepesi sana hivyo wiki moja inatosha
kukamilisha kufanya utandikaji hio wa mambomba.

“Hakuna.kazi ngumu hapa sema hii kampuni inaleta uzembe,tuko nao pamoja hivi sasa kuhakikidha wanakamilisha,”amesema Mganga.
Kwa
upande wa Mwenyekiti wa kitongoji cha Ndoroboni amesema kitongoji hiko
kina shida ya maji inayopelekea wakazi wa eneo hilo kuuafuata kijiji cha
Kelema Balai kama mili mbili kutoka Kelema Kuu.

Ameiomba
serikali kwa kishirikiana na serikali ya mtaa kusimamia mradi huo
ukamilike wakazi waweze kupataaji safi kwa ajili ya matumizi yakila
siku amesema wakazi wengine hudhindwa kwenda umbali mrefu na badala
yake wanatumia maji ya mabwawa ambayo ni machafu.

upande wa Mkurugenzi wa kampuni ya Juan Mhandisi Inocent Benard amesema
wakazi wa eneo hilo wategemee mwezi huu kupata maji kutokana na kuwa
watakamilisha ndani ya siku ambazo wametakiwa kukamilisha.