Na Mapuli Misalaba
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na
makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wazazi, walezi na jamii
kuwajibika kwenye suala la malezi ikiwa ni pamoja na matunzo na ulinzi wa mtoto
ili kuwaepusha na vitendo vya ukatili.
Akifungua maadhimisho ya siku ya
mtoto wa afrika Duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma ambayo yamekwenda
sanjari na sherehe za kampeni ya kupinga ukatili SMAUJATA kutimiza Mwaka mmoja tangu
kuanzishwa Mwaka jana Juni 16.
Pamoja na mambo mengine Dkt. Gwajima ametumia
nafasi hiyo kuipongeza kampeni ya SMAUJATA kwa kuendelea kuisaidia serikali kupinga
ukatili huku akiwasisitiza wazazi na walezi kuimarisha ulinzi wa watoto ili
kuwaepusha na wimbi la watoto wa mitaani.
Amesema serikali itaendelea kusimamia
sheria za mtoto ambapo amewaasa wazazi na walezi kutoa taarifa kwenye kituo cha
polisi baada ya watoto kupotea ili kuepuka changamoto.
“Ipo haja ya kufahamu kwa kija iwapo miongozo na mifumo ya
kuwatambua watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ipo na je ipo imara au
inaulegevu sehemu gani kwa sababu tunaendelea kuwaona watoto mitaani tutafanya
zoezi kubwa la kubaini wapi mifumo hii inalegea tuchukue hatu”.
“Wazazi, walezi na jamii muwajibike kwenye malezi na matunzo
ya watoto ili familia zao ziweze kuishi vizuri na watoto wafurahie maisha yao”.
“Sisi tukimpata mtoto yupo mtaani tunanchukua tunampa Juice
atusimulie alifikaje hapo lakini tukirudi kwa wewe mzazi ambaye unatuambia
mtoto wako haonekani miezi mitatu utuonyeshe RB ya Polisi, mzazi mmoja
akipoteza Ng’ombe na kuku atawasumbua mno polisi halafu mzazi mmoja hamuoni
mtoto wake wiki au mwezi analala tu usingizi hii maana yake nini anaenda
kumtumikisha yule mtoto apate faida kama kweli anauchungu aende polisi
akachukue RB tujue mtoto wake amepotea sisi tukimkamata mtoto mtaani tukaja
kwako hauna RB tunakusomea sheria ya mtoto namba 21 ya mwaka 2009 imefanyiwa
marekebisho mwaka 2011 ukapambane na vifungu halali vya sheria ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania”.amesema Dkt. Gwajima
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima
amewasisitiza watoto kuzisimamia haki zao kwa kufuata taratibu na sheria za Nchi
ikiwa ni pamoja na kuwaheshimu wazazi ambapo pia amewataka kutoa taarifa pale
wanapoona viashiria vya ukatili.
Mwenyekiti wa kampeni ya Shujaa wa
maendeleo na ustawi wa jamii Tanzania (SMAUJATA) Bwana Sospeter Mosewe Bulugu
amesema kampeni hiyo pia imejipanga kuhamasisha makazi bora ya wananchi, huduma
bora kwa wazee, malezi pamoja na makuzi kwa watoto, misingi ya haki na usawa wa
kijinsia sambamba na kuamsha ari ya wananchi katika uwekezaji, biashara na
kilimo.
Mwenyekiti huyo amesema shughuli za kampeni
ya SMAUJATA ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika mapambano ya
ukatili Nchini kupitia sheria, kanuni na miongozo iliyopo ili kuendana na kasi
ya mabadiliko katika jamii na nyanja zingine mbalimbali.
Bwana Buluhu amesema mpaka sasa zaidi
ya watanzania elfu kumi (10,098) wamejiunga na kampeni hiyo ya SMAUJATA ambapo
pia amesema kwa muda wa Mwaka mmoja yapo mafanikio mbalimbali ikiwemo kusajiri
shirika la Responsible Society Organization (RSO) na kwamba shirika hilo
litashirikiana na wadau wengine katika shughuli za kupinga ukatili kwa mujibu
wa sheria na taratibu za Nchi.
Kwa upande wake mkurugenzi msaidizi OR
– TAMISEMI Bi. Subisya Kabuje amesema serikali itaendeleza mifumo ya ulinzi na
usalama wa mtoto pamoja na kutoa elimu ili kuimarisha usalama.
“Moja ya mambo tunayoenda kuyafanyia kazi ni kuendeleza
mifumo ya ulinzi na usalama wa mtoto kwa kutumia kamati zile za ulinzi na
usalama ngazi ya vijiji na mitaa lakini pia tutaendelea kuwatumia SMAUJATA
ambao wapo kwenye ngazi ya vijiji ili kuhakikisha kwamba ulinzi wa watoto
unaendelea kuimarika”.amesema Bi. Kabuje
Kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya
mtoto Duniani inasema “Zingatia usalama wa mtoto katika ulimwengu wa kidijitali”.
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na
makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto
wa afrika yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023.
Mkurugenzi msaidizi OR – TAMISEMI Bi.
Subisya Kabuje akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika yaliyofanyika
kitaifa jijini Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023.
Mwenyekiti wa kampeni ya Shujaa wa
maendeleo na ustawi wa jamii Tanzania (SMAUJATA) Bwana Sospeter Mosewe Bulugu akizungumza
kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika yaliyofanyika kitaifa jijini
Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023.
Awali maadamano ya siku ya mtoto wa afrika
kitaifa yakifanyika jiji Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023 kauli mbiu “Zingatia
usalama wa mtoto katika ulimwengu wa kidijitali”.
Maadamano ya siku ya mtoto wa afrika
kitaifa yakifanyika jiji Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023 kauli mbiu “Zingatia
usalama wa mtoto katika ulimwengu wa kidijitali”.
Mgeni rasmi Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na
makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima akisalimiana na viongozi mbalimbali baada
ya kufika katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika leo Ijumaa
Juni 16,2023 katika viwanja vya mashujaa jijini Dodoma.
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa
afrika yakiendelea katika uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma leo Ijumaa Juni
16,2023 Mgeni rasmi Waziri wa maendeleo
ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima.

Michezo ya nyimbo mbalimbali ikiendelea katika Maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kwenye uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma leo Ijumaa Juni 16,2023 Mgeni rasmi Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima.

makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima akiendelea na zoezi la kukabidhi vyeti vya
pongezi kwa viongozi mbalimbali leo kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa
afrika jijini Dodoma.

makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima akiwa kwenye picha ya pamoja leo Ijumaa
Juni 16,2023 katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika yaliyofanyika
kitaifa jijini Dodoma.

Baadhi ya viongozi wa SMAUJATA Mkoa
wa Shinyanga wakiwa kwenye picha ya pamoja baadhi ya kupokea cheti cha pongezi
leo kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika ambayo kitaifa yamefanyika
jijini Dodoma.