Waziri jenista aanza ziara ya kutembelea vitega uchumi vya psssf jijini dar es salaam

 Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama(watatu kulia), akiongozana na
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Andrew
Massawe (Wanne kulia), Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi
wa Umma (PSSSF), Bw. Hosea Kashimba (Wapili kulia) na maafisa wengine
wa juu wa PSSSF, mwanzoni mwa ziara ya Waziri kutembelea vitegauchumi
vya Mfuko huo jijini Dar es Salaam Novemba 25, 2019.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama(katikati), akiongozana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Andrew
Massawe (kushoto), Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa
Umma (PSSSF), Bw. Hosea Kashimba, (kulia), wakitoka kwenye moja ya
majengo ya vitegauchumi vya Mfujo huo jijini Dar es Salaam Novemba 25,
2019. Mhe. Jenista ameanza ziara ya siku mbili kutembelea vitegauchumi
vya Mfukjo huo hususan majengo.
Mhe.
Jenista Mhagama akisisitiza jambo baada ya kutembekea jingo la PSSSF
Twin Towers katikati ya jiji la Dar es Salaam, Novemba 25, 2019.

 Mhe.
Waziri akifuatana na Katibu Mkuu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF
wakitembelea jingo la PSSSF Twin Towers katikati ya jiji la Dar es
Salaam Novemba 25, 2019.

 Waziri
Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa ziara hiyo huku Mkurugenzi
wa Mipango na Uwelezaji PSSSF, Bw. Fortunatus Magambo akimsikiliza.
 Waziri
Mhagama akimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Andrew
Massawe, wakati akifafanua jambo wakati Mhe., Waziri na msafara wake
walipotembelea jingo la Quality Plaza barabara ya Nyerere jijini Dar es
Salaam, ili kujionea hali ya sasa ya jingo hilo ambalo ni kitegauchumi
cha PSSSF
 Waziri
Mhagama akifuatana na Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Massawe
wakati wakitembelkea jingo la PSSSF Twin Towers Novemba 25, 2019.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama(kushoto),  na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Andrew
Massawe (kushoto), wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Pensheni kwa
Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Hosea Kashimba wakati Mhe. Waziri
alipotembelea jingo la uwekezaji la PSSSF la Jubilee Towers barabara ya
Ohio katikati ya jiji la Dar es Salaam Novemba 25, 2019.
 
 Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Hosea Kashimba akifafaua jambo