Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliagiza
Wizara za Ardhi, Madini, Tamisemi na Viwanda zishughulikie mgogoro wa
Ardhi baina ya Kijiji cha Nanyala na kiwanda cha Saruji cha Mbeya.

Mgogoro unahusisha ekari 2315 ambapo ekari 1475 zipo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe na ekari 840 ziko wilaya ya Mbeya.
Leo
tumekuja kama alivyoagizwa kujionea hali halisi ikiwa lengo letu ni
kuumaliza mgogoro huo na tutafuata sheria taratibu na kanuni zote katika
kutatua mgogoro huu.

Kufikia
Jumatatu Kiwanda cha Saruji kiondoe kesi tatu zilizoko mahakamani baina
ya kiwanda na wana kijiji cha Nanyala kama alivyo agiza Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, hii si hiyari,
haiwezekani Mkuu wa Nchi anaagiza jambo halafu kuna mtu anajivuta
kutekeleza.

Utoaji
wa leseni za madini katika eneo lenye mgogoro usitishwe, Kijiji cha
Nanyala, Wilaya za Mbozi na Mbeya zisitishe utoaji wa hati za kimila
katika eneo lenye mgogoro.

Wakulima
na wafugaji ambao wanalima na kufuga katika eneo hilo, mgogoro huu
hauna maslahi nao hivyo wasizuiliwe kuendelea na shughuli za kilimo na
ufugaji.

Wachimbaji
wadogo wadogo wa chokaa wanaofanya shughuli zao kwa msimu katika eneo
lenye mgogoro wasizuiliwe waendelee kufanya kazi zao.

Naibu Waziri Madini Stanslaus Nyongo
Wataalamu
waangalie namna ya kubalidisha Sheria ya Service Levy ili halmashauri
za Mbeya na Mbozi waweze kufaidika kwa pamoja na sio halmashauri moja
kufaidika huku nyingine ikipunjwa.

Kiwanda
cha Saruji cha Mbeya kama wanataka kutunza eneo kwa ajili ya matumizi
ya baadaye waangalie namna bora inayotambulika kisheria na sio kukwepa
gharama kwa kutofuata taratibu na sheria.

Naibu Waziri OR TAMISEMI Josephat Kandenge
Halmashauri
ambayo haikupata service levy na ilistahili kupata ilipwe kwakuwa
tusirekebishe ya mbele bila kuangalia stahiki zilizopita za Halmashauri
hizi.

Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya
Wizara
ya Viwanda na Biashara ingependa kuona mgogoro huu unaisha kwakuwa
kiwanda cha Saruji na vingine vilivyopo katika eneo hilo vina mchango
katika maendeleo ya taifa.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila
Migogoro
inapoendelea sana lazima kuna upande unakuwa hauna uelewa hivyo
wataalamu watusaidie katika hilo pia tusiingie sana katika mgogoro wa
mapato kuwa yaende kwa nani isipokuwa tujielekeze kuumaliza mgogoro huo.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela
Mkoa wa Songwe tunaomba kesi zifutwe ili wananchi waendelee kufanya shughuli zao kwa uhuru.
Mkoa
wa Songwe tunataka wawekezaji na tunawakaribisha waje kwakuwa sisi tuna
mali ghafi za kutosha ila tu wajue kuwa lazima sheria na taratibu
zifuatwe.