Ziara ya mheshimiwa waziri mkuu malinyi, morogoro


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiwasalimia  na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika, kwenye jengo
la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiweka jiwe la msingi, wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi,
mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na wananchi, baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi, la
jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba
16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *