Failuni aibuka kidedea serengeti marathon 2019 km21 wanawake

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla kwa furaha akimkabidhi zawadi na kumpongeza Mtanzania Bi.
Failuni Abdi Makanga aliyeshika nafasi ya kwanza kwa wanawake kwenye
mbio za Km 21 za Serengeti Safari Marathon 2019 leo mkoani Mara.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi
Kigwangalla akifurahia Medali mara baada ya kumaliza kukimbia umbali wa
Kilometa 21 kwenye mashindano ya Serengeti Safari Marathon 2019 mkoani
Mara. Mashindano hayo yamelenga kuhamasisha Utalii wa Michezo.