Na Lucas Myovela_Arusha.
Timu ya Taifa ya riadha hapa nchi
imerejea usiku wa Oktoba 7,ikiwa imetokea Doha huko nchini Qatar baada ya
kushiriki katika michuano ya riadha ya dunia iliyokuwaikifanyika katika mji wa Doha.

Timu hiyo iliondoka nchini Oktaba
2 ,2019 ikiwa na jopo la watu wanne wanariadha watatu pamoja na kocha wa timu
ndiyo waliweza kwenda kushiriki michuano ya dunia ya riadha ambapo michuano
hiyo ilishirikisha wanariadha wa timu za mataifa mbali mbali.

Akiongeana na wanaandishi wa
habari wakati wa kuwapokea wanariadha hao walipowasili katika ardhi ya Jiji la
Arusha kutokea Doha wakipitia, Nairobi Nchini kenya Afisa utamaduni wa jiji la
Arusha Benson Maneno ameeleza kuwa mpaka sasa timu hiyo inakila sababu ya
kupongezwa kwa kila hali na mali kwa hatua waliyofikia.

Pia Benson Maneno ameleza kwamba
licha ya changamoto mbali mbali walizokutana nazo wanariadha hao bado waliweza
kuhimili hali ya hewa kutokana na joto kali walilo kutana nalo lakini bado
wameiwakilisha nchi katika michuano ya dunia
na kuleta heshima kubwa baada ya nahodha wa timu hiyo kumaliza mzunguko
wote.

Kwa upande wake kocha wa timu
hiyo ya riadha hapa nchini Andrew Samson Panga,ameeleza kwamba licha ya joto
kuwa kali hadi kufikia hatua ya wanariadha wengine kufunga barafu katika miili
yao ili kupunguza joto pia walipata changamoto ya wanariadha wawili wa timu ya
Taifa waliweza kuumia katika michuano hiyo na kupelekea kubakiza mkimbiaji
mmoja kati ya watatu waliyo kwenda Doha.

“Vijana wetu wamepambana vya
kutosha lakini changamoto tuliyopana ni vijana wetu kuumia ambapo Stephano Uche
aliumia goti na badae mwariadha wetu Agostino Sulle alipata shida ya nyonga
kwahiyo hawakuweza kufika mwisho au kumaliza mashindano na Alphonce Simbu
aliweza kupambana hadi mwisho kama mlivyo weza kuona katika vyomba vya habari
vya kimataifa kiukweli haikuwa kazi ndogo wala kazi rahisi”. alisema kocha
Samson.

“Kiukweli tuliyo fika pale
tumejionea hali halisi ya pale Doha na kipindi tunakuja tulikuwa tunajiuliza
tunarudi ingawa hatuna midani na niwashukuru sana kwa mapokezi haya
mliyotupatia maana mmekuja kutupokea mbali na mmetukalibisha vizuri mapokezi
haya yanatia moyo sana maana tumeshindwa lakini bado watanzania wapo na sisi ni
jambo jema sana kushikamana”. aliendelea kusema kocha Samson.

Pia nahodha wa timu hiyo ya taifa
ya riadha Alphonce Simbu, ameeleza kuwa mbali ya wao kushindwa lakini ameweza
kushika nafasi ya kumi na sita na kuweza kushiriki mashindano ya Olimpiki huko
Tokyo 2020 na kuwataka viongozi wa riadha taifa kuwa wamoja na kuacha majungu
na mapishano katika kuendeleza michezo ya riadha hapa nchi maana kwasasa
kumekuwa na sito fahamu kubwa kwa viongozi hao tofauti na mwanzo.

“Kwa upande wangu nimshukuru
kocha wetu kwa kuto kukata tamaa na kuwa nasisi bado hata tulivyo shindwa bado
hajavunjika moyo ametupa moyo sana na kutusaidia kimawazo lakini kwasasa
kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa viongozi wetu wa riadha taifa ninaomba
warudishe umoja wao maana hili jambo linatuvunja moyo wanariadha”.alisema
nahodha wa timu Alphonce.