Mwenyekiti
wa Chadema Taifa Freeman Mbowe amemwandikia barua Rais wa Tanzania Dk
John Pombe Magufuli ili kumuomba alete utengamano wa kitaifa.

Akizungumza
Makao Makuu ya Chadema Jijini Dar es Salaam leo, Mbowe amesema kwa
hali ilivyo sasa ikiwemo baadhi ya mataifa kuanza kuitenga Tanzania ni
vema kukawa na maridhiano yatakayolifanya taifa hili kuwa lenye umoja na
mshikamano.

Akifafanua Mwenyekiti huyo amesema, kuna ulazima Rais akaunda tume ya maridhiano ili kuepusha malalamiko kutoka kwa wananchi
Kuhusu uchaguzi wa Serikali za mitaa, Mbowe ametaka ufutwe na urudiwe.
“Kufutwa kwa uchaguzi huu kutahalalisha kuwa uchaguzi wa mwaka huu
(uchaguzi mkuu) utakuwa huru na wa haki. Uchaguzi huu ukafanyike
sambamba na uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.” amesema Mbowe.