Rais wa utpc keneth simbaya alipotembelea apc

 Pichani ni Katibu Mkuu wa APC Eliya Mbonea, Rais wa UTPC Simbaya, Mwenyekiti wa APC Gwandu, Katibu wa Kurugenzi ya Mahusiano Mustafa Leu, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya APC David Frank na mwanachama wa APC Abrahamu aliyepo nyumba ya Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi za APC Mtaa wa Msikiti jijini Arusha

 Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC) Claudi Gwandu akitoa ufafanuzi wakati wa kumkaribisha Rais wa UTPC Keneth Simbaya aliyetembelea ofisi za Chama hicho mwishoni mwa mwaka 2012

 Rais wa UTPC Ken akisaini kitabu cha wageni ndani ya Ofisi za APC Mtaa wa Msikiti jijini Arusha

 Mwandishi Mwandamizi na kiongozi mwasisi wa APC Nicodemus Ikonko akimkabidhi zawadi Rais wa UTPC Ken wakati wa halfa fupi ya kumkaribisha Arusha.

Rais wa UTPC Ken akishiriki kutakia heri katika hafla hiyo kwa kugonganisha glass na baadhi ya waalikwa