Uchangiaji wa damu kuokoa maisha ya mama na mtoto arusha

Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha Eliya Mbonea akichangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha mama na mtoto uchangia huo wa damu ulifanyika katika viwanja vya makumbusho ya Azmio la Arusha jijini Arusha