Dc misungwi kuratibu zoezi la kufufua kiwanda cha pamba manawa

Naibu Waziri wa Kilimo, Husseis
Bashe (wa pili kulia) akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu
wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda (kulia) kukagua sehemu ya
mitambo ya kiwanda cha kuchakata pamba Manawa kilichopo Kata ya Misasi
wilayani Misungwi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Septemba 27, 2019 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alitembelea kiwanda hiki 
 Mwonekano wa baadhi ya mitambo
katika kiwanda cha kuchakata pamba Manawa kilichopo wilayani Misungwi
ambacho tangu mwaka 2014 kilisitisha shughuli zake.