Live: uzinduzi wa kitabu cha “my life my purpose” cha rais mstaafu mhe. benjamini mkapa

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi wa kitabu cha Historia ya maisha ya
Mhe. Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya
muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.Kitabu kianitwa “MY LIFE
MY PURPOSE”