Makamu wa rais mhe. samia suluhu hassan aongoza kikao cha baraza la mawaziri jijini dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza
la Mawaziri kilichokutana leo Octoba 29,2019 katika Ukumbi wa TAMISEMI
Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)