Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Mfumuko
wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi novemba 2019 umeongezeka hadi
asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 kwa mwaka ulioishia mwezi oktoba 2019.

Hayo
yamebainishwa na kaimu mkurugenzi sensa ya watu na takwimu za jamii
ofisi ya taifa ya takwimu, Ruth Davison Minja ambapo amesema kuwa kasi
ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi
Novemba 2019 imeongezeka ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka
ulioishia mwezi Oktoba 2019.

Aidha,mfumuko
wa bei wa bidhaa za vyakula na vinywaji baridi kwa mwaka ulioishia
mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 5.1 kwa
mwaka ulioishia mwezi oktoba 2019.

Vilevile,
Bi.Ruth amesema hali ya mfumuko wa bei kwa baadhi ya nchi za afrika
mashariki Kenya na Uganda umeonekana Kuongezeka ambapo Nchini Kenya
Umeongezeka kwa asilimia 5.56 kutoka asilimia 4.95 huku Uganda
ukiongezeka kwa asilimia 3.0 kutoka asilimia 2.5.

Ofisi
ya taifa ya takwimu (NBS) ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa sheria
ya takwimu kwa mwaka 2015 pamoja na mapitio yake ya mwaka 2018 kwa
mujibu wa sheria hiyo, NBS imepewa mamlaka ya kutoa, kusimamia na
kuratibu upatikanaji wa taarifa za kitakwimu nchini ikiwa ni pamoja na
takwimu za mfumuko wa bei kwa ajili ya matumizi ya serikali na wadau wa
takwimu.