Mkuchika akutana na makamishna wa tume ya haki za binadamu na utawala bora kujadiliana namna ya kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya utawala bora

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumzia
namna ya kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya utawala bora na
Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora waliomtembelea ofisini
kwake Mtumba, jijini Dodoma leo.

Add captiBaadhi ya Makamishna na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala bora wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika
(Mb) wakati wa kikao kilichofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo
kuzungumzia namna ya kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya utawala
bora.
on

Kaimu Katibu Mtendaji, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,
Bi. Fatuma Muya akitoa maoni yake wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst),
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) na Makamishna wa Tume hiyo kilichofanyika ofisini
kwake Mtumba, jijini Dodoma leo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya
kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya utawala bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (wa tatu
kutoka kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora mara baada ya kikao
kilichofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo kilichokuwa na lengo la
kujadiliana namna ya kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya utawala
bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiagana na
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bw. Mohamed
Hamad baada ya kikao na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
kilichofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma leo. Kikao hicho kilikuwa na
lengo la kujadiliana namna ya kufanya kazi kwa ushirikiano katika masuala ya
utawala bora.