Jitihada
za Rais John Magufuli za kuhakikisha rasilimali za Tanzania zinalindwa,
zimeanza kuzaa matunda baada ya serikali na Kampuni ya Barrick Gold
Corporation kuingia ubia na kuanzisha kampuni mpya ya Twiga Mining Co.
Ltd inayochukua nafasi ya Kampuni ya Acacia.
Kampuni
ya Twiga iliyosajiliwa nchini na makao yake makuu yatakuwa Mwanza,
Serikali ya Tanzania itamiliki asilimia 16 na Barrick Gold Corporation
itakuwa na asilimia 84.

Sasa
ndio itakayosimamia migodi mitatu iliyokuwa inasimamiwa na Acacia
ambayo ni Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara na itaendesha shughuli zake
zote nchini.
Hatua
hiyo, imekuja baada ya Kampuni ya Barrick kuizika rasmi Acacia na
kufunga ofisi zake zilizokuwepo jijini London, na kufuta kesi na madeni
yote ambayo kampuni hiyo ya Acacia iliyafungua dhidi ya serikali.

Akizungumza
na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi alisema
hatua hiyo imeingiza Tanzania katika historia mpya ya ukombozi wa
kiuchumi.

Alisema
kuanzishwa kwa kampuni hiyo mpya sasa kumefuta migogoro yeyote
iliyokuwepo baina ya serikali na Acacia ambayo hisa zake za asilimia
63.9 zote zilinunuliwa na hivyo kumilikiwa na Barrick Gold Corporation.

Alieleza
kuwa pamoja na kufuta migogoro hiyo, pia wamekubaliana kuwa Barrick
itailipa Tanzania kiasi cha dola za Marekani milioni 300 kwa ajili
malipo ya kodi zote zilizokuwa haijalipwa na migogoro mingine.